Ahsante Vodacom nawaombea kwa Mungu

Ahsante Vodacom nawaombea kwa Mungu

Hi hizi ni zile walizotangazaga kipindi kile sijui ilikua 2017 ile? ulifanya uamuzi mzuri.

Kuna wenye Wivu humu watakuja kuponda na kusema kila kitu kina mwisho🤣.
 
Hi hizi ni zile walizotangazaga kipindi kile sijui ilikua 2017, ile, ulifanya uamuzi mzuri.

Kuna wenye Wivu humu watakuja kuponda na kusema kila kitu kina mwisho🤣.
Mkuu huo mwisho uje tu,hata hivyo nitakuwa nimewafaidi sana,kwasasa naendelea kujipakulia minyama tu,dadeeeeek!!!!😂😂😂😂😂
 
Mkuu huo mwisho uje tu,hata hivyo nitakuwa nimewafaidi sana,kwasasa naendelea kujipakulia minyama tu,dadeeeeek!!!!😂😂😂😂😂
Mda mwingne unajiuliza i ungeweka mzigo mkubwaaa.
 
Mda mwingne unajiuliza i ungeweka mzigo mkubwaaa.
Mkuu sijaweka mzigo wala nini,mi naendelea kula maisha tu dadeeeek na siwasanui hata kidogo.

Siku wakishituka sijui itakuwaje😂😂😂😂😂
 
Ni zile MB na dakika za bure?
kama ni hizo na mimi napata muda mrefu tu, tena kuna muda napata kwa wiki mara 2.
 
Ni zile MB na dakika za bure?
kama ni hizo na mimi napata muda mrefu tu, tena kuna muda napata kwa wiki mara 2.
Mkuu mimi kila siku napewa GB 3 na huu ni Mwaka sasa unaelekea.

Ni mwendo wa kuseleleka kama nyoka tu dadeeeek !!😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom