Ahsante TANROADS Dodoma

Ahsante TANROADS Dodoma

pocha2

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
890
Reaction score
396
Kwa dhati kabisa nasema ahsante kwa TANROADS Dodoma kwa kuboresha barabara ya Dodoma Singida. Tunawashukuru hasa kwa kutoweka kibao chochote cha tahadhari ya matuta na ujenzi.

Mungu awabariki kwa weledi huu, na Waziri awaongezee baraka mkae madarakani muda mrefu kwa kusababisha damages kwa watumiaji wa barabara hii.

Ahsanteni sana.
 
Back
Top Bottom