Ahsante sana mama mkwe

Chai bila sukari
 
Ganja ina uwezo wa kukufanya ujione umekalia kiti cha magogoni, endelea na njozi za ganja kaka.
 
Serikali inaangaika na mapunga bangi n ruksa kwa kipindi hiki, vuten tu ata mkitaka mzifanye mboga
 
Natafuta pa kukomenti mkuu, ntasema kitu maana si kwa chai hii!!
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hlo neno bwru grls mkuu
Nadhan kuna shule uliyoipta kabla ya kwenda bwiru girls

Wako vijana wanaowaita hao wadada mende na sket zao nyekundu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
ooooooooh wanaume wadar mnatudhalilisha na kutuchosha si wa mikoani alaaaaaaah¡¡¡
 
Kwa Iyo Hapo Unajiona Umepata Mwenyewe
 
wenzako wanajisifia kutafuta hela, we unajisifia ujinga
 
Usiku huu bana

Muwe mwaandika maneno machache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…