Ahsante Magufuli kwa Hili hatutokusahau Wazanzibar

Shutuma za watu kupotea na dhalimu magufuli kuzuia uchaguzi unadhani kwanini aligomea uchunguzi huru? Wacha ujinga mpuuzi wewe!!!
Pole mnama hii ndio demokrasia Uhuru wa kujieleza unapaswa kutamalak hatupasw kuvunjiana heshima,hizo zinabak kuwa tuhuma kwa sabab hazijafikishwa mahala husika ili zifate utaratibu km sheria zinavyojipambanua mwishowe washutumiwa na washutumu wapate nafas ya kusikilizwa ili hukumu ipatikane na hiz shutuma zipo nyingi tu hata mbowe aliambiwa kala pesa za makato ya wabunge chama anakifanya km Sacco's na mengineyo mengi tu yatabak kuwa ni shutma haupasw kupanik Mnama.
 
Shutuma za watu kupotea na dhalimu magufuli kuzuia uchaguzi unadhani kwanini aligomea uchunguzi huru? Wacha ujinga mpuuzi wewe!!!
Unamaanisha kwa vile Mbowe hajaonesha ushirikiano kulingana na shutuma za kutumia ruzuku bila ya kufata utaratibu wa kichama na kutafuna michango ya wabunge anazoshutumiwa ndio tumhukumu kuwa mkosaj???
 
Kitendo chako cha kumpitisha Mwinyi kuja kuwa mgombea ZANZIBAR, WAZANZIBAR wengi tulikipinga sana sana si wachama wa chama tawala (CCM) Wala wapinzani (ACT-WAZALENDO) wote walipinga na kubwa kwamba Mwinyi analetwa kuja kuimaliza ZANZIBAR na kufufua ile sera ya mwalimu ya SERIKALI MBILI KWENDA MOJA

Lakini Leo hali ni tofauti Husein Mwinyi baada tu kukikalia kiti kajimpambanua kama Kiongozi wa kipekee kawaunganisha WAZANZIBAR baada muda mchache sana Leo Siasa za chuki zimekua historia hakuna kuteswa hakuna tena ulemsamiati wa MAZOMBI na MAJANJA WIRI

MIONGONI YA MAMBO ALOWAFANYIA WAZANZIBAR KATIKA KIPINDI KIFUPI TU:

1) Ameondoa CHUKI ZA KISIASA

2) Viongozi waliojifanya Waungu watu amewatupa nje ya SERIKALI

3) Ametengua Uongozi wa Makamanda wa Vikosi vya SMZ ambao waliongoza uharamia wa utekaji na mauaji ya wapinzani

4)Amepitisha uchunguzi ktk Vikosi hivyo viovu na kugundua jinsi Askari wa Vikosi hivyo walivyokuwa wakikatwa mishahara ovyo, Askari hewa wakumwaga na wastafu kuendelea kupokea mishahara kama Kawa

5) CIG kwa mara ya kwanza toka nizaliwe ripoti yake imesomwa hadharani sikuwa hata nikijua km ZANZIBAR Ina MKAGUZ MKUU wa SERIKALI

6) Ameipa meno (ZAECA) taasisi ya kupambana na rushwa ambapo hapo kale haikua ikifanya KAZI

7) Ameimarisha utawala wa Sheria na uwazi SERIKALI kwa kuzindua app ya ONGEA NA RAIS MWINYI mfumo unaowapa Uhuru watu kalalamikia chochote direct kwa Rais

8) Marais wa zamani walikua na Misikiti maalum wanayoswali(Misikiti ya CCM) Leo Mwinyi anaingia kila Misikiti bila kujali itikadi madhehebu mrengo wa kisiasa nk

9) Amerejesha SERIKALI ya UMOJA WA KITAIFA ambayo Rais aliepita aliiondosha (ZANZIBAR haujawahi kutawaliwa na Rais dhaifu kama huyo)

10 Amewaletea WAZANZIBAR chanjo ya CORONA (Kwa ataetaka)

11 ) Ametia saini ujenzi wa bandari kubwa ambazo zitakuja kuikomboa MZANZIBAR ktk like kiitwacho BLUE ECONOMICS Rais aliepita akifungua mataw ya CCM tuu

12) Ametamka hadharani kwamba yeye anawapenda wanaomkosoa zaidi kuliko wanaomsifu zamani ukikosowa unafunguliwa kesi ya uchochezi

MWINYI Mola akusimamie ZANZIBAR haijawahi kuwa na Rais mnyenyekevu mpole mstaarabu km ww
ZANZIBAR sasa inanonge lugha MOJA ya MAENDELEO NA KUHESHIMIANA

Chuki za kijinga za kisiasa iliyoitafuna ZANZIBAR kwa Karne nyingi sasa imekua ni historia

*Kwa Nini tusiseme kama JOB NDUNGAI
" Atake asitake tutamuongezea tuu'*

MAASALAMU WAKATABAHU
Atuwekee tume huru ya uchaguzi, matatizo yote ya Zanzibar yanatokana na kukosekana haki.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿฝ Hilo hatalifanya KAMWE ataiba vipi uchaguzi? Akilifanya hilo hata mimi nitampongeza sana.
Atuwekee tume huru ya uchaguzi, matatizo yote ya Zanzibar yanatokana na kukosekana haki.
 
mwinyi amejaliwa karama ya uongozi, 2025 atatufaa sana akichukua mikoba ya maza.
 
Yalikuwa maombi yangu kwamba baada JPM kabla ya kutwaliwa, mwaka 2025 awe Mwinyi junior lakini sasa naona Mama na yeye amekuja vzr
 
Kitendo chako cha kumpitisha Mwinyi kuja kuwa mgombea ZANZIBAR, WAZANZIBAR wengi tulikipinga sana sana si wachama wa chama tawala (CCM) Wala wapinzani (ACT-WAZALENDO) wote walipinga na kubwa kwamba Mwinyi analetwa kuja kuimaliza ZANZIBAR na kufufua ile sera ya mwalimu ya SERIKALI MBILI KWENDA MOJA

Lakini Leo hali ni tofauti Husein Mwinyi baada tu kukikalia kiti kajimpambanua kama Kiongozi wa kipekee kawaunganisha WAZANZIBAR baada muda mchache sana Leo Siasa za chuki zimekua historia hakuna kuteswa hakuna tena ulemsamiati wa MAZOMBI na MAJANJA WIRI

MIONGONI YA MAMBO ALOWAFANYIA WAZANZIBAR KATIKA KIPINDI KIFUPI TU:

1) Ameondoa CHUKI ZA KISIASA

2) Viongozi waliojifanya Waungu watu amewatupa nje ya SERIKALI

3) Ametengua Uongozi wa Makamanda wa Vikosi vya SMZ ambao waliongoza uharamia wa utekaji na mauaji ya wapinzani

4)Amepitisha uchunguzi ktk Vikosi hivyo viovu na kugundua jinsi Askari wa Vikosi hivyo walivyokuwa wakikatwa mishahara ovyo, Askari hewa wakumwaga na wastafu kuendelea kupokea mishahara kama Kawa

5) CIG kwa mara ya kwanza toka nizaliwe ripoti yake imesomwa hadharani sikuwa hata nikijua km ZANZIBAR Ina MKAGUZ MKUU wa SERIKALI

6) Ameipa meno (ZAECA) taasisi ya kupambana na rushwa ambapo hapo kale haikua ikifanya KAZI

7) Ameimarisha utawala wa Sheria na uwazi SERIKALI kwa kuzindua app ya ONGEA NA RAIS MWINYI mfumo unaowapa Uhuru watu kalalamikia chochote direct kwa Rais

8) Marais wa zamani walikua na Misikiti maalum wanayoswali(Misikiti ya CCM) Leo Mwinyi anaingia kila Misikiti bila kujali itikadi madhehebu mrengo wa kisiasa nk

9) Amerejesha SERIKALI ya UMOJA WA KITAIFA ambayo Rais aliepita aliiondosha (ZANZIBAR haujawahi kutawaliwa na Rais dhaifu kama huyo)

10 Amewaletea WAZANZIBAR chanjo ya CORONA (Kwa ataetaka)

11 ) Ametia saini ujenzi wa bandari kubwa ambazo zitakuja kuikomboa MZANZIBAR ktk like kiitwacho BLUE ECONOMICS Rais aliepita akifungua mataw ya CCM tuu

12) Ametamka hadharani kwamba yeye anawapenda wanaomkosoa zaidi kuliko wanaomsifu zamani ukikosowa unafunguliwa kesi ya uchochezi

MWINYI Mola akusimamie ZANZIBAR haijawahi kuwa na Rais mnyenyekevu mpole mstaarabu km ww
ZANZIBAR sasa inanonge lugha MOJA ya MAENDELEO NA KUHESHIMIANA

Chuki za kijinga za kisiasa iliyoitafuna ZANZIBAR kwa Karne nyingi sasa imekua ni historia

*Kwa Nini tusiseme kama JOB NDUNGAI
" Atake asitake tutamuongezea tuu'*

MAASALAMU WAKATABAHU
Hupo sahihi Mkuu,kuna mzee alisoma na Hussein Mwinyi Sekondari anasema Hussein Mwinyi na watoto wa Mzee Mwinyi wana adabu na hekima mpaka walikuwa wanashangaa kuwa mtoto wa Rais anaishi maisha ya kawaida na kiushirikiana na wenzake bila ubaguzi.
 
NO bora upitie KWA CHAKUBANGA nimwepesi wakuchambua anawapigia hats usiku
 
Yalikuwa maombi yangu kwamba baada JPM kabla ya kutwaliwa, mwaka 2025 awe Mwinyi junior lakini sasa naona Mama na yeye amekuja vzr
2025 TUNARUKA NA MWIGULU TUMESHAANZA KUANDIKA KWENYE MAWE.Wizara ya mazingira sijui huwa inazingatia nini kutoa kibali kuchafua uoto wa asili
 
Hupo sahihi Mkuu,kuna mzee alisoma na Hussein Mwinyi Sekondari anasema Hussein Mwinyi na watoto wa Mzee Mwinyi wana adabu na hekima mpaka walikuwa wanashangaa kuwa mtoto wa Rais anaishi maisha ya kawaida na kiushirikiana na wenzake bila ubaguzi.
Sijakusoma hapo "HUPO SAHIHI" umekusidia "SIPO SAHIHI" au vipi? Naona comment yako imeunga mkono nilichokisema
 
Kitendo chako cha kumpitisha Mwinyi kuja kuwa mgombea ZANZIBAR, WAZANZIBAR wengi tulikipinga sana sana si wachama wa chama tawala (CCM) Wala wapinzani (ACT-WAZALENDO) wote walipinga na kubwa kwamba Mwinyi analetwa kuja kuimaliza ZANZIBAR na kufufua ile sera ya mwalimu ya SERIKALI MBILI KWENDA MOJA

Lakini Leo hali ni tofauti Husein Mwinyi baada tu kukikalia kiti kajimpambanua kama Kiongozi wa kipekee kawaunganisha WAZANZIBAR baada muda mchache sana Leo Siasa za chuki zimekua historia hakuna kuteswa hakuna tena ulemsamiati wa MAZOMBI na MAJANJA WIRI

MIONGONI YA MAMBO ALOWAFANYIA WAZANZIBAR KATIKA KIPINDI KIFUPI TU:

1) Ameondoa CHUKI ZA KISIASA

2) Viongozi waliojifanya Waungu watu amewatupa nje ya SERIKALI

3) Ametengua Uongozi wa Makamanda wa Vikosi vya SMZ ambao waliongoza uharamia wa utekaji na mauaji ya wapinzani

4)Amepitisha uchunguzi ktk Vikosi hivyo viovu na kugundua jinsi Askari wa Vikosi hivyo walivyokuwa wakikatwa mishahara ovyo, Askari hewa wakumwaga na wastafu kuendelea kupokea mishahara kama Kawa

5) CIG kwa mara ya kwanza toka nizaliwe ripoti yake imesomwa hadharani sikuwa hata nikijua km ZANZIBAR Ina MKAGUZ MKUU wa SERIKALI

6) Ameipa meno (ZAECA) taasisi ya kupambana na rushwa ambapo hapo kale haikua ikifanya KAZI

7) Ameimarisha utawala wa Sheria na uwazi SERIKALI kwa kuzindua app ya ONGEA NA RAIS MWINYI mfumo unaowapa Uhuru watu kalalamikia chochote direct kwa Rais

8) Marais wa zamani walikua na Misikiti maalum wanayoswali(Misikiti ya CCM) Leo Mwinyi anaingia kila Misikiti bila kujali itikadi madhehebu mrengo wa kisiasa nk

9) Amerejesha SERIKALI ya UMOJA WA KITAIFA ambayo Rais aliepita aliiondosha (ZANZIBAR haujawahi kutawaliwa na Rais dhaifu kama huyo)

10 Amewaletea WAZANZIBAR chanjo ya CORONA (Kwa ataetaka)

11 ) Ametia saini ujenzi wa bandari kubwa ambazo zitakuja kuikomboa MZANZIBAR ktk like kiitwacho BLUE ECONOMICS Rais aliepita akifungua mataw ya CCM tuu

12) Ametamka hadharani kwamba yeye anawapenda wanaomkosoa zaidi kuliko wanaomsifu zamani ukikosowa unafunguliwa kesi ya uchochezi

MWINYI Mola akusimamie ZANZIBAR haijawahi kuwa na Rais mnyenyekevu mpole mstaarabu km ww
ZANZIBAR sasa inanonge lugha MOJA ya MAENDELEO NA KUHESHIMIANA

Chuki za kijinga za kisiasa iliyoitafuna ZANZIBAR kwa Karne nyingi sasa imekua ni historia

*Kwa Nini tusiseme kama JOB NDUNGAI
" Atake asitake tutamuongezea tuu'*

MAASALAMU WAKATABAHU
Mtamchagua tena kweli? Au mtamchagua wa act? Maana mnavyoichukia ccm huko visiwani
 
Kwa mienendo ya huyu jamaa uchaguz ujao wapemba watapata tabu sana kuamua wampe nani kura upande mmoja ticha hayupo atakuja mgombea mpya sisiem nao wameweka MTU ambaye yupo tofaut na wale wote waliopita
 
Mleta mada umesahahu
Bado Zanzibar ni KOLONI la Tanganyika. Jikomboeni hapo kwanza
 
Kitendo chako cha kumpitisha Mwinyi kuja kuwa mgombea ZANZIBAR, WAZANZIBAR wengi tulikipinga sana sana si wachama wa chama tawala (CCM) Wala wapinzani (ACT-WAZALENDO) wote walipinga na kubwa kwamba Mwinyi analetwa kuja kuimaliza ZANZIBAR na kufufua ile sera ya mwalimu ya SERIKALI MBILI KWENDA MOJA

Lakini Leo hali ni tofauti Husein Mwinyi baada tu kukikalia kiti kajimpambanua kama Kiongozi wa kipekee kawaunganisha WAZANZIBAR baada muda mchache sana Leo Siasa za chuki zimekua historia hakuna kuteswa hakuna tena ulemsamiati wa MAZOMBI na MAJANJA WIRI

MIONGONI YA MAMBO ALOWAFANYIA WAZANZIBAR KATIKA KIPINDI KIFUPI TU:

1) Ameondoa CHUKI ZA KISIASA

2) Viongozi waliojifanya Waungu watu amewatupa nje ya SERIKALI

3) Ametengua Uongozi wa Makamanda wa Vikosi vya SMZ ambao waliongoza uharamia wa utekaji na mauaji ya wapinzani

4)Amepitisha uchunguzi ktk Vikosi hivyo viovu na kugundua jinsi Askari wa Vikosi hivyo walivyokuwa wakikatwa mishahara ovyo, Askari hewa wakumwaga na wastafu kuendelea kupokea mishahara kama Kawa

5) CIG kwa mara ya kwanza toka nizaliwe ripoti yake imesomwa hadharani sikuwa hata nikijua km ZANZIBAR Ina MKAGUZ MKUU wa SERIKALI

6) Ameipa meno (ZAECA) taasisi ya kupambana na rushwa ambapo hapo kale haikua ikifanya KAZI

7) Ameimarisha utawala wa Sheria na uwazi SERIKALI kwa kuzindua app ya ONGEA NA RAIS MWINYI mfumo unaowapa Uhuru watu kalalamikia chochote direct kwa Rais

8) Marais wa zamani walikua na Misikiti maalum wanayoswali(Misikiti ya CCM) Leo Mwinyi anaingia kila Misikiti bila kujali itikadi madhehebu mrengo wa kisiasa nk

9) Amerejesha SERIKALI ya UMOJA WA KITAIFA ambayo Rais aliepita aliiondosha (ZANZIBAR haujawahi kutawaliwa na Rais dhaifu kama huyo)

10 Amewaletea WAZANZIBAR chanjo ya CORONA (Kwa ataetaka)

11 ) Ametia saini ujenzi wa bandari kubwa ambazo zitakuja kuikomboa MZANZIBAR ktk like kiitwacho BLUE ECONOMICS Rais aliepita akifungua mataw ya CCM tuu

12) Ametamka hadharani kwamba yeye anawapenda wanaomkosoa zaidi kuliko wanaomsifu zamani ukikosowa unafunguliwa kesi ya uchochezi

MWINYI Mola akusimamie ZANZIBAR haijawahi kuwa na Rais mnyenyekevu mpole mstaarabu km ww
ZANZIBAR sasa inanonge lugha MOJA ya MAENDELEO NA KUHESHIMIANA

Chuki za kijinga za kisiasa iliyoitafuna ZANZIBAR kwa Karne nyingi sasa imekua ni historia

*Kwa Nini tusiseme kama JOB NDUNGAI
" Atake asitake tutamuongezea tuu'*

MAASALAMU WAKATABAHU
Kuna mmoja alilaani mtoto wa mkuranga kwenda kutawala zanzibar. Hapo nachanganyikiwa ๐Ÿค”๐Ÿค”
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom