sijapata tatizo la GB, labda baadaye. Nimeweka 12 GB 12 days back bado nina GB 10.5Na Data wameacha kudhulumisha au bado wanauza GB hewa?
Nimefurahi kooote nilipofika kwenye comment yako nikapoa na natoa barakoa yangu 😷Wanakula data balaaa
Hahahah kwa matumizi hayo kwa siku 12 huwezi kuwa na tatizo mkuu. Endelea kuinjoy!sijapata tatizo la GB, labda baadaye. Nimeweka 12 GB 12 days back bado nina GB 10.5
Kuna line za Royal /au vifurushi vya Royal???? ndzo unapata vifurushi hivyo! Alini convince mtu aliyetumia miezi mitatu bil shida. Lakini kama kawaida ya makampuni haya, ni wezi wanavuta watu, then mkiwa wengi wanabadilika! Let me try anyway!Hahahah kwa matumizi hayo kwa siku 12 huwezi kuwa na tatizo mkuu. Endelea kuinjoy!
Mie nina Line ya Royal 4G! Hicho kifurushi nimejiunga 3 times in a row.Kuna line za Royal /au vifurushi vya Royal???? ndzo unapata vifurushi hivyo! Alini convince mtu aliyetumia miezi mitatu bil shida. Lakini kama kawaida ya makampuni haya, ni wezi wanavuta watu, then mkiwa wengi wanabadilika! Let me try anyway!
Nakuja😀😀😀Na 10,000- Tsh dakika 1000 mitandao yote, GB12, SMS 500 for 30 days. Janami njoo huku kuzuri!
Bado wanakuprogram,,baadae hizi GB12 zitakuwa hazimalizi wiki mbilisijapata tatizo la GB, labda baadaye. Nimeweka 12 GB 12 days back bado nina GB 10.5