inasikitisha sana, itv wameonyesha ajali hukobombo, mtu kavunjika mguu, damu inatoka kichwani, hospitali haina xray......
Inauma sana.....
Kambale nkumbe sio samaki, lol.
uwiiiiiiiiiii Erickb52 advice gani hiyo wallah? umpoteze hubby?? unataka kumlimboka nini?? Asprin mwaya usifanye hivyo, ila ukaguzi wa jana, mi mwenyewe nimekubali, babu upo juu, wanakuona wao wazee kwa macho yao, kwangu we ni FOREVER YOUNG KHA! morning my AsprinDawa ya huyo Young Master ni kumpoteza tu
Hana jipya siku hizi
Wewe ni huyo aliyevaa gloves nyeusi mikononi
tupe agenda za kikao kwanza
hahhahha sasa hapa unakagua nn ...kwamba anatumia line gani ama?Tatizo kuna sehemu bado sijakukaguia vizuri. ukuje bathi...