Ahsante gfsonwin, nimepona!!!

Ahsante gfsonwin, nimepona!!!

Last edited by a moderator:
Maskini nitonye ulimtoa kafara ili utajirike?



Nitape tape au nimetulia nabembelezwa?
Mwenzio nikibebwa nakunja miguu lol

masikini Kongosho lolest! ili nitajirike? au nimpate Kaizer?

wakukubeba nani siku hizi? yaani labda kile kibabu ulichokiopoa ambacho uliniomba nkupe maujuzi ukimwage kwani kinakutia shombo na janaba la uzee, ujanani.
 
Last edited by a moderator:
Huo muda sijaelewa, saa 2.30 usiku au saa 8.30.
Kuna nini tena mod?
Nimeweka 2.30pm hapo bado hujaelewa tu au ndio umeanza kikwazo?
Uje usikie tamko....
Kuhudhuria kikao ni lazma
 
Hahahaha, mganga aliyeshindwa kuagua??? lol! Tunaruhusiwa kwenda kumpa hi Erotica?

yaani Kongosho asikunyime usingizi kabisa ma dearest. jamani marufuku kabisa tena ni mwiko na sufuria yake katka jiko lake kwenda kumtembelea Erotica kwasasa msije itia ndoa yake majaribuni bureee.

Ndoa hainaga ushoga atii bibie. leo utasema shemeji kesho sheemejiii huku ukibana pua keshokutwa na mwendo unaubadili mtondo pozi la uso unabadili mtondogoo wamzimia taa lolest! nisisikie
 
Last edited by a moderator:
Oh! Wahi baby, nimekumisi sana.... I wanna kiss you my love. Remember our day cacico?

mariah6.jpg
do remember t papito! was maverlous! i realy enjoyed, n u knw what Young_Master kaona chata ya ODM kwenye nyonga haelewi ni nini, anadhani maua! mwahhh Asprin my babu am coming!
 
Last edited by a moderator:
Mkwe cacico...........
Kaizer my mkwe nipo, nilikuwa kule juu nasoma habari za dr! kha, walidhamiria yaani kung'olewa kucha kwa plaiz! lolest! nimeimagine ni mimi nimejikuta nimebana niniliu... yangu! kha!
 
Last edited by a moderator:
Hivi biti lote alilotoa Young Master, halikufanya Kazi? Kweli kunguru hafugiki.
shshshs Remmy mbona maneno kuntu asubuhi hivi?? hata ma dr. wanatofautiana! kila mtu na utabibu wake kha!
 
Last edited by a moderator:
Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kusomwa na Young_Master, Erickb52, Mentor, Lily Flower na FirstLady1

Ukweli nimeumia, babu sijafurahi
radhiyo naingojea, fasta fasta we uwahi
kabla dongo sijatupia, nashindwa kujistahi
pona yako we ni kero, kwanza ushazeeka!!!

ukaguzi we huwezi, aliyesema cacico
za zamani hazikizi, hamu za waja kwako
twachie wenye mizizi, fuata saizi yako
pona yako we ni kero, kwanza ushazeeka!!!
 
Last edited by a moderator:
haya ni mambo ya kibondei BADILI TABIA. umeniaminia lakini? leo baadae nitakua na darasa la mfyonzo saa kumi mwambie cacico na sweetlady Erotica yuko honey moon kwasasa hivyo mwache apumzike.
mimi tena! nitajaaje sasa hapo uwanjani kha! maandalizi je? sema kabisa vinavyohitajika nina hasira siku mbili hizi toka dr. aumizwe lol!
 
Back
Top Bottom