Ahmedy Ally hajui kuhusu mpira Bali ni mchumia tumbo na siyo mtu wa kumzingatia atakapozungumza mbele ya Camera

Ligi yetu kwenye mbio za ubingwa washindan n wawili Makolo na Yanga iyo iko ivyo

Yan n kama ccm waache kupambana na chadema waanze kumfukuzia nccr mageuzi kisa tu wapo nae kwenye uchaguz
 
Hivi huyu jamaa namna anavyozungumza siku hizi mbona kama simuelewi hivi. Amezidisha madoido kiasi amekuwa kituko hivi. Aliye karibu naye amshtue kuwa amepitiliza arudi kuzungumza kama zamani alivyotoka Azam.

Ni mtizamo tu.
 
Back
Top Bottom