Ahmed Karzai 'slaps' The US in the face.

Ahmed Karzai 'slaps' The US in the face.

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
5,139
Reaction score
1,150
Afghanistan President Ahmed Karzai slaps US in the face,he said we are beside pakistan if US attacks......hii imekuja siku mbili baada ya Obama kutangaza kuyaondoa majeshi ya marekani huko Iraq huku kukiwa na taarifa ya kutoelewana kati ya Washington na Baghdad huku Baghdad ikionekana kuelemea zaidi upande wa adui namba moja wa us - IRAN, hali inayoelezwa imechangia kwa kiasi kikubwa kuchukuliwa kwa maamuzi hayo magumu na rais obama...kulikoni us foreign policy waliokuwa marafiki wa us sasa wanaonekana kumtupa mkono GODFATHER Wao??????
 
Ubabe wa Wamarekani iko siku itafika mwisho wake na siyo mbali,kumbuka hakuna utawala ulikua na nguvu kupita utawala wa Rumi (Roman empiere)sasa hivi wako wapi?
 
Hawa jamaa wanaifanya U.S kama cashpoint...hawana nia ya kweli ya kupiga vita terrorism na kumaliza matatizo katika nchi zao.
 
obama is just another bloodymurder and should be marched straght to ICC.STAN will not betray pakstan
 
Back
Top Bottom