Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
striking force ndio nin mzee tueleweshe kidogoSimba Ulishindwa juzi kutokana na striking force dhaifu! Acheni ujinga... Hii tatizo ni la miaka 2 Sasa na linaanza kuwa sugu!
Ulitaka afanye nini sasa? Aangue kilio na kuwaambia mashabiki wa Simba kwamba timu yao imeshatolewa? Hata vitani Kamanda hatakiwi kuwakatisha tamaa wapiganaji wake hata kama anajua kwamba wamezidiwa. By the way, kwa nini hutaki kuamini kwamba Simba anaweza kuifunga Al Ahly kwao?Kuwa Msemaji wa timu, tena kubwa kama Simba au Yanga, si lazima uwe unamwaga porojo na ndoto ambazo si rahisi kutimizika.
Kabla ya mechi ya Al Ahly Benjamin Mkapa, Ahmed Ally aliwaaminisha washabiki na wanachama wa Simba kuwa Ahly anakufa kifo kibaya na HATOKI BENJAMIN MKAPA.
Baada ya kupigwa kimoja cha dakika ya 5, Ahmed Ally sasa amekuja na SIMBA, TIMU YA MAAJABU.Amedai kuwa Simba itaenda kufanya maajabu kule Cairo, Misri. Eti, imeshawahi kufanya maajabu makubwa huko nyuma.
Hadi sasa, Simba ndiye pekee aliyefungwa kwenye awamu ya kwanza ya robo fainali ya ACCL. Tena amepigwa nyumbani...akashindwa hata kutumia mwiko au jengo kujilinda. Washindi wenzake wengine wa pili, akiwemo Yanga, wamepata suluhu nyumbani kwao.
Ahmed Ally, Mungu anakuona. Endelea tu kuwajaza upepo mashabiki na wanachama wa Simba. Ila tambua kuwa Yanga inatinga nusu fainali kwa mechi ya ugenini kwa Madiba...sare yoyote ya magoli inaivusha Yanga...timu ya wananchi!
Kuna viumbe hawajielewi kabisa, wasamehe.Duh, kuna watu mna vichwa vibovu sana. Yani maneno ya mhamasishaji wewe unachukulia kama scientific fact?
Hivi uliwahi kuona wapi, mchezaji, kocha, mshabiki, msemaji/mhamasishaji anaesema team yake inaenda kufungwa?
Mambo mengine mchukulie kama ni sehemu ya kawaida ya michezo sio kukaza ubongo.
Mtuachie Ahmed Aliii wetuuu...Ahmed Ally anaihujumu timu yetu ya simba. Mashabiki wenzangu tuungane kumuondoa Ahmed Ally na Mwenyekiti Mangungu. Hawa watu wawili ni Yanga dam dam!
Ukiona tu simba imefungwa, basi chanzo kikuu ni Ahmed Ally na Mwenyekiti Mangungu. Haya malalamiko hata shabiki mwenzangu Kalpana anayafahamu.
Una uhakika? Umeshapekua makabrasha ya Simba toka iitwe Simba ukakuta haina medal?? Ficha ujinga wako...Kubwa jinga la First leg ni timu ambayo haina medals yoyote ya CAF, kwenye orodha hiyo timu zote zina medals kasoro iliyopigwa
View attachment 2949837
naitakuwa hivyo huko cairo ahaly atapigwa 2 bilaKuwa Msemaji wa timu, tena kubwa kama Simba au Yanga, si lazima uwe unamwaga porojo na ndoto ambazo si rahisi kutimizika.
Kabla ya mechi ya Al Ahly Benjamin Mkapa, Ahmed Ally aliwaaminisha washabiki na wanachama wa Simba kuwa Ahly anakufa kifo kibaya na HATOKI BENJAMIN MKAPA.
Baada ya kupigwa kimoja cha dakika ya 5, Ahmed Ally sasa amekuja na SIMBA, TIMU YA MAAJABU.Amedai kuwa Simba itaenda kufanya maajabu kule Cairo, Misri. Eti, imeshawahi kufanya maajabu makubwa huko nyuma.
Hadi sasa, Simba ndiye pekee aliyefungwa kwenye awamu ya kwanza ya robo fainali ya ACCL. Tena amepigwa nyumbani...akashindwa hata kutumia mwiko au jengo kujilinda. Washindi wenzake wengine wa pili, akiwemo Yanga, wamepata suluhu nyumbani kwao.
Ahmed Ally, Mungu anakuona. Endelea tu kuwajaza upepo mashabiki na wanachama wa Simba. Ila tambua kuwa Yanga inatinga nusu fainali kwa mechi ya ugenini kwa Madiba...sare yoyote ya magoli inaivusha Yanga...timu ya wananchi!
Wa henya Tate mkuuAhmed Ally anaihujumu timu yetu ya simba. Mashabiki wenzangu tuungane kumuondoa Ahmed Ally na Mwenyekiti Mangungu. Hawa watu wawili ni Yanga dam dam!
Ukiona tu simba imefungwa, basi chanzo kikuu ni Ahmed Ally na Mwenyekiti Mangungu. Haya malalamiko hata shabiki mwenzangu Kalpana anayafahamu.