Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,105
- 34,928
- Thread starter
-
- #41
Rais wetu ni taswira ya jinsi Watanzania tulivyo, otherwise kwa nini alichaguliwa 2005 na ataendelea kuchaguliwa tena 2010? Kama Rais ni msanii, ina maana wengi wetu ni wasanii, kama Rais wetu anatoa ahadi hewa, wengi wetu huwa tunatoa ahadi hewa, nk.
Hii picha inatia uchungu, kwa hiyo mwenyewe nahesabu nayeye kavaaa viatu shule? akiibiwa tavidai? eee Mungu usikie kilio chetu.