marcusgarvey
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 891
- 235
Na huku Songea grid ya taifaKatika kampeini iloyomwingiza jk madarakani,moja ya ahadi zake tamu ilikuwa ni kuwapatia wakazi wa mkoa wa kagera meli mpya kama mbadala wa meli iliyopinduka ya mv bukoba,ahadi hii kama kawaida ya chama tawala,ccm ni ile ile,sera ni zile zile,ahadi hii imeyeyuka na juzi jumatatu almanusura taifa liingie tena kwenye majonzi baada ya meli nzee na mbovu mv serengeti iliyokuwa haina hata boya moja kutaka kupinduka na kuleta maafa mbele ya umati mkubwa wa wakazi wa manispaa ya bukoba waliokuwa pembezoni mwa ziwa wakishuhudia live sinema ya kutisha kwa zaidi ya masaa matano,kweli ccm ni ile ile na sera ni zile zile na ahadi ni zile zilevcx
Katika kampeini iloyomwingiza jk madarakani,moja ya ahadi zake tamu ilikuwa ni kuwapatia wakazi wa mkoa wa kagera meli mpya kama mbadala wa meli iliyopinduka ya mv bukoba,ahadi hii kama kawaida ya chama tawala,ccm ni ile ile,sera ni zile zile,ahadi hii imeyeyuka na juzi jumatatu almanusura taifa liingie tena kwenye majonzi baada ya meli nzee na mbovu mv serengeti iliyokuwa haina hata boya moja kutaka kupinduka na kuleta maafa mbele ya umati mkubwa wa wakazi wa manispaa ya bukoba waliokuwa pembezoni mwa ziwa wakishuhudia live sinema ya kutisha kwa zaidi ya masaa matano,kweli ccm ni ile ile na sera ni zile zile na ahadi ni zile zilevcx
A! Aaa! Kwa bahati mbaya JK hakuweza kutimiza ahadi hiyo kama ambavyo pia aliahidi meli mpya kule Kigoma, lakini msitie shaka wana Kagera na Wanakigoma, Pombe Magufuli atatimiliza yote kama mtamchagua. Upembuzi yakinifu na mchanganuo mahususi vilichelewa na hivyo kumcheleweshas JK kutimiza, lakini mpango mkakati umeshakuwa tayari na inshallah, Magufuli atatimiza. Tumpe kula zetu!!
Katika kampeini iloyomwingiza jk madarakani,moja ya ahadi zake tamu ilikuwa ni kuwapatia wakazi wa mkoa wa kagera meli mpya kama mbadala wa meli iliyopinduka ya mv bukoba,ahadi hii kama kawaida ya chama tawala,ccm ni ile ile,sera ni zile zile,ahadi hii imeyeyuka na juzi jumatatu almanusura taifa liingie tena kwenye majonzi baada ya meli nzee na mbovu mv serengeti iliyokuwa haina hata boya moja kutaka kupinduka na kuleta maafa mbele ya umati mkubwa wa wakazi wa manispaa ya bukoba waliokuwa pembezoni mwa ziwa wakishuhudia live sinema ya kutisha kwa zaidi ya masaa matano,kweli ccm ni ile ile na sera ni zile zile na ahadi ni zile zilevcx
Ndg kwa uongo huu! Daa! Umezidi. Una uhakika na unachokisema juu ya hili? mv serengeti iliyokuwa haina hata boya moja Nahodha wa meli hiyo na timu yake aliwashauri abiria watulie kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya sana. Zaidi ya hapo hata abiria walipohojiwa walijibu kuwa hata mtu angetumia mavazi maalumu ya kujihami isingesaidia kwa kuwa hali ya hewa ilikuwa mbaya sana. Hayo ya kwako ya kizushi wayatoa wapi yakhe? Hiii sasa sifa, ya kwako ni zaidi ya sinema.