Acheni upuuzi. NSSF inajenga daraja beginning in the next 2 months.
Silly you... you cant take a mickey out of people's life... unatia kinyaa ana kuleta utani kwenye hili la maisha ya watanzaniaAcheni upuuzi. NSSF inajenga daraja beginning in the next 2 months.
Kigamboni kuna nini? mpaka tutumie fedha zote hivyo?
Jengeni barabara ya kuungaisha Kigoma na Rukwa tuongeze pato la taifa kutokana na biashara ambayo tumei-block kwenda Kongo
Kigamboni kuna wantanzania mkuu, kwani Kigoma kuna nini?
Gharama ya daraja shilingi Bilioni 91, na tuzo ya Dowans ni shilingi billioni 94. Hapo vipi, mvua na jua bora kipi?
Yaani umeniwahi nikitaka kumuuliza swali kama hilounamaanisha nini mkuu? wananchi waache upuuzi wa kukerwa na jinsi serikali inahatarisha maisha yao? Au ccm iache upuuzi wa kuahidi daraja tangu 2000, hata baada ya kupewa pesa za kujenga daraja na ubalozi wa Uholanzi? Au NSSF iache upuuzi wa kuahidi kujenga daraja tangu 2007? Naomba unifafanulie mkuu wangu
Gurudumu, nakupongeza kwa taarifa na ushahidi unaojitosheleza kuhusu ahadi hii ya CCM. Huu ndio uandishi unaotakiwa na sio ushabiki!
Mimi na wewe na wengine tunajua tatizo liko wapi! Ahadi zinatolewa kuwafurahisha wananchi! Ndio maana miaka 10 baada mtu anauliza 'kigamboni kuna nini tutumie fedha nyingi hivyo'. Gharama za ujenzi huo ni Bil. 91 kwa mujibu wa taarifa yako, fedha za kuwalipa Dowans ni Bil. 94!! Hizo sio nyingi! Fedha za daraja zitarudi, kama sio zote ni nusu au robo! Na pia tutasaidiwa! Halikuwa na umuhimu! Halina haraka kama Dowans!
Hilo ni moja ya mengi Gurudumu. Kwa kuyaweka wazi itasaidia! Tunakushukuru!
kweli kiazi ni kiazi tuKigamboni kuna nini? mpaka tutumie fedha zote hivyo?
Jengeni barabara ya kuungaisha Kigoma na Rukwa tuongeze pato la taifa kutokana na biashara ambayo tumei-block kwenda Kongo
Kila mahali kuna Watanzania?
Kigamboni daraja hilo kutumia billions zote hizo kwa ajili ya kusafirisha watu kuleta madafu mjini???
Kiasi hichi ikijengwa barabara ya Rukwa -Iringa au Rukwa - kigoma
Naamini ni economicaly wise decision..itaongeza tax base ya nchi
kweli kiazi ni kiazi tu
Kigamboni is the blue diamond of this country, the area runs to about 70Km north of Dar, ni potential source ya income kwa serikali na kama itawekwa vyema basi its going to be the only true modern city in east africa...
Kikubwa zaidi kigamboni ni jimbo la watanzania linaloanzia chini ya nusu kilomita kutoka ikulu... more important ni kwamba hiyo pesa ni sawa tu na ile ya kumlipa rostam ili aende kununua khanga na vitenge kwaajili ya maamuma kama wewe
Kule kuna pesa ya MCA inayotekeleaza MDG... na tax base ya kigamboni inaweza kushinda RUkwa, Kigoma combined... je unajua kwamba kinondoni pekee inakusanya kodi mara ngapi ya kigoma?