Ah..Daktariiii...Umetisha Docta.

Mhh sikueziii we mwanaume!! Mie nko pouwer

I told God protect me from my enemies and i started losing friends! .... i'm none of those who you asked God to protect you from. Utaniweza tu.🙂
 
I told God protect me from my enemies and i started losing friends! .... i'm none of those who you asked God to protect you from. Utaniweza tu.🙂

Hahahaaa umetiiisha sana!!
 
Docta aliniona kauzu...nilibana mpaka penati.

Inategemea una uhusiano gani na mgonjwa..labda alikuwa dada/shangazi/mama etc, hapo utapaswa kutoka nje, kama huna imani na Dokta, basi omba nesi awepo wakati anampima. Kama alikuwa mpenzi wako , basi ulikuwa na haki ya kuwepo na ulikuwa sahihi kubana mpaka penati..ila kama mlikuwa mmefuata huduma ya kupima VVU, na dada hakusema kuwa yuko comfortable kuongea na Dokta huku ukiwepo, pia ilibidi utoke nje..lakini kama wote mlikuwa comfortable kupata ushauri nasaha na kupima pamoja na kujuzana majibu..bali ulikuwa na haki tena ya kukaba mpaka penati. Kwa hiyo inategemea na mazingira..kuna mazingira yanakunyima haki ya kuwepo ofisini kwa Dokta akimpima binti uliyempeleka..na mengine yanakuruhusu!
 

aika Riwa alikua mpenzi na ilikua ni checkup ya kawaida tu.
 
Last edited by a moderator:
kweli mkuu komaa hakuna kutoka wakati mwingine mgonjwa hawezi kujieleza au kupokea maeleza ipasavyo subiria hapo kwa hapo!!...anataka privacy gani wakati wewe unamjua vilivyo!!
 
Mkuu kiburudisho changu ati...sasa kuna siri gani wakati mimi namvua pichu kila siku..

Hahahahhaaa! Benteke posts zako na comments zako huwa zinaniacha hoi, LOL. In between kuna kitu kinaitwa "doctor-patient confidentiality" na hii haijalishi mahusiano yenu yakoje, not unless mgonjwa mwenyewe aridhie ww kuwepo pale.
 
kweli mkuu komaa hakuna kutoka wakati mwingine mgonjwa hawezi kujieleza au kupokea maeleza ipasavyo subiria hapo kwa hapo!!...anataka privacy gani wakati wewe unamjua vilivyo!!

Hamna kitu alikua anafanya fujo tu Zamaulid
 
Last edited by a moderator:
Hahahahhaaa! Benteke posts zako na comments zako huwa zinaniacha hoi, LOL. In between kuna kitu kinaitwa "doctor-patient confidentiality" na hii haijalishi mahusiano yenu yakoje, not unless mgonjwa mwenyewe aridhie ww kuwepo pale.

Zinakuacha hoi ee[MENTION]Miss Kim[/MENTION]:wink2: ... sasa tumeenda kupima dengu kunaitaji usiri kweli? wakati dengu yeneywe imeanikwa kila mahali kwenye vyombo vya habari.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…