Ah..Daktariiii...Umetisha Docta.

benteke

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
1,305
Reaction score
1,069
Eti..."Kijana ebu subiri hapo nje" ....weee.wewe? nani atoke nje. Mgonjwa nimlete mimi alafu untoe nje. Anatumia kigezo cha mimi kutokuongea kizungu akidhani sijui ki hivyo , docta nasikia kwa mbali....yaani kuna maneno fulani hivi nikisikia tu nywele zikisimama basi najua hapa naatakiwa. Nikamwambia sitoki dactari hata uite mgambo wa jiji.....kwani ni vipimo gani unamfanyia uyu binti. Kwa kweli niligoma. Sikutoka kabisaa.
 

Utatokaje sasa?komaa nae
 
Khaaa dakitari alikuwa anataka privacy na mgonjwa wake....kwa hyo kama umemleta wewe ndo unataka usikie kila kinachomhusu?
 
Khaaa dakitari alikuwa anataka privacy na mgonjwa wake....kwa hyo kama umemleta wewe ndo unataka usikie kila kinachomhusu?

Mkuu kiburudisho changu ati...sasa kuna siri gani wakati mimi namvua pichu kila siku..
 
Hapo kwenye bold umenikumbusha mbali sana!
 
Wewe Ben wivu utakuua ,nahisi hata gengeni unaenda wewe badala ya huyo demu wako.
 
Wewe Ben wivu utakuua ,nahisi hata gengeni unaenda wewe badala ya huyo demu wako.

hahahaha ROBERT MICHAEL kweli gengeni naenda lakini sio kwa ajili ya uwivu...ni kwa ajili ya kubagaini bei....si unajua tena unaeza mpa buku kumi akaja na nyanya tu bila mboga alafu chenji imebaki sh 350.00, chezea wapemba wewe.
 
Last edited by a moderator:
ukiona manyoya jua mnyama kaliwa pole kwa kua mshika mapembe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…