Agronomy

Agronomy

Shadow120

Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
30
Reaction score
12
Wakuu kwa anaeifahamu agronomy au ameshaisoma ninaomba ufafanuzi kidogo, na vip kuhusu soko lake la ajira??
 
Principles and practices of soil, water and crop management.. ukiisoma hii utajifunza kuanzi kuandaa shamba, kupanda mbegu, kumwagilia, kuweka mbolea , kupalilia, kuvuna ,kuhifadhi mazao. Kuhusiana na soko la ajira sina ujuzi maana sikuisoma hio programme bali nilikkuta ndani ya programme niliyosoma.
 
Ni uchumi ktk kilimo
Soko ni wewe kujiari

Hapana mkuu, hapa umempotosha mwenzio. Hiyo uliyoisema wewe ni "AGRIBUSINESS".
Agronomy ni kitu kingine tofauti kabisa.
 
Bro ninaelewa ninachokisema
Hapo ni kilimo na uchumi
Ukitaka darasa nikupe
 
Wakuu kwa anaeifahamu agronomy au ameshaisoma ninaomba ufafanuzi kidogo, na vip kuhusu soko lake la ajira??

Bsc.Agronomy ni kozi ya miaka mitatu inayotolewa SUA pekee kwa hapa nchini kwetu. Hi ni kozi ya kilimo (kama zilivyo kozi zingine kadhaa za kilimo) ambayo imejikita hasa kwenye mambo matatu yafuatayo;
1. Sayansi ya udongo
2. Mbolea
3. Vipando/Vipandwa (mbegu na vyote viotavyo).

Soko lake la ajira sio baya wala sio zuri (so, no promises to make here). Miongoni mwa kozi za SUA hii ni kati ya zile tunaziita "kozi nzuri".
Iombe hii kozi (nilisikika nikikushauri).
 
Bro ninaelewa ninachokisema
Hapo ni kilimo na uchumi
Ukitaka darasa nikupe

NARUDIA TENA (THIS TIME WITH CAPITAL LETTERS), AGRONOMY SIO KILIMO NA UCHUMI.

Pitia prospectus ya SUA tafuta bsc. Agronomy ujue inahusu nini, pia tafuta bsc. Agricultural Economics and Agribusiness (AEA) inahusu nini, ukishamaliza njoo uombe msamaha kwa kujaribu kupotosha (kwa kutokujua) niko hapa nakusubiri.

I AM SORRY, I'M NOT DISCUSSING HERE, I'M TELLING YOU.
 
Umeeleza vizuri hapo juu mkuu...
 
Bsc.Agronomy ni kozi ya miaka mitatu inayotolewa SUA pekee kwa hapa nchini kwetu. Hi ni kozi ya kilimo (kama zilivyo kozi zingine kadhaa za kilimo) ambayo imejikita hasa kwenye mambo matatu yafuatayo;
1. Sayansi ya udongo
2. Mbolea
3. Vipando/Vipandwa (mbegu na vyote viotavyo).

Soko lake la ajira sio baya wala sio zuri (so, no promises to make here). Miongoni mwa kozi za SUA hii ni kati ya zile tunaziita "kozi nzuri".
Iombe hii kozi (nilisikika nikikushauri).
Nakazia ukitaka ufaidi hii kozi kuwa na master's yake utazikimbia kazi mtaani....
 
Bsc.Agronomy ni kozi ya miaka mitatu inayotolewa SUA pekee kwa hapa nchini kwetu. Hi ni kozi ya kilimo (kama zilivyo kozi zingine kadhaa za kilimo) ambayo imejikita hasa kwenye mambo matatu yafuatayo;
1. Sayansi ya udongo
2. Mbolea
3. Vipando/Vipandwa (mbegu na vyote viotavyo).

Soko lake la ajira sio baya wala sio zuri (so, no promises to make here). Miongoni mwa kozi za SUA hii ni kati ya zile tunaziita "kozi nzuri".
Iombe hii kozi (nilisikika nikikushauri).
Mkuu nashukuru, umefafanua vizur
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom