charslaw
Member
- Jul 31, 2017
- 14
- 7
Wakubwa naombeni ushauri kati ya hizo kozi, ipi ipo poa?
Agronomy na biotechnology
Sent using Jamii Forums mobile app
Agronomy na biotechnology
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna SUA(biotechnology en laboratory science)
Agronomy SUA Inachukua watu 600 mwaka jana waliapply 7000 kama ufaulu wako ni mdogo achana nayo
Acha uongo wwAgronomy SUA Inachukua watu 600 mwaka jana waliapply 7000 kama ufaulu wako ni mdogo achana nayo
Biotechnology ya sua iko specialised na vet science its like mnakua prepared kufanya kaz veterinary labsKuna SUA(biotechnology en laboratory science)
Udsm (molecular biology en biotechnology)
Sent using Jamii Forums mobile app