engineer_mxi
New Member
- Jan 20, 2020
- 3
- 4
Habari! Natumaini wewe ni mzima wa afya...natoa pole kwa janga hili la corona kwa watanzania wenzangu.
Unaweza kushangaa sana kwa nchi zilizoendelea familia moja tu ya watu wa 5 inaweza kulima hata ekari 900 tofauti na huku Tanzania ambapo ekari 10 tu zinahitaji kundi la watu hata 20, sio uchawi bali ni agromachines(Mashine za kilimo cha kisasa).
Nachukua nafasi hii kuvijadili vifaa mbalimbali vya kilimo..Pamoja na upatikanaji wake, Pia mimi mwenyewe nikiwa ni dealer wa agromachines nakupa fursa ya kuulizia kifaa chochote unachokitaka na kukupa ushauri kwa kupiga simu 0763936825 au nenda instagram search account yangu engineer_xi halafu nenda kwenye bio bonyeza link utaziona machine zote za kilimo zinazopatikana Tanzania na bei zake, au bonyeza hapa halafu bonyeza link kwenye bio utaona kila kitu unachoweza taka kukiona(www.instagram.com/engineer_xi/).
1. TRACTOR
Tractor ndio mashine ambayo inatawala katika shughuli za kilimo yaani kifaa kinachotumika katika kilimo kwa kiasi kikubwa kwa kiasi kikubwa sana. Kuna aina nyingi sana za matrekta mfano case iii, preet , john deere n.k. Lakini kwa leo sitaelezea ni aina ipi ya tractor nzuri zaidi.
fig. 1 tractor
TRACTOR LINAWEZA KUFANYA KAZI NYINGI SANA, AMBAZO HATA NIKIZITAJA SITAMALIZA LEO
LAKINI HIZI NI BAADHI
Kazi kubwa ya jembe la tractor ni kulima hasa kwenye sehemu ambayo haijawahi kulimwa au ambayo haijalimwa muda mrefu
Majembe ya trekta yapo ya aina nyingi na kila jembe linatumika kutegemeana na aina ya ardhi ambayo inatakiwa kulimwa ila kwa Tanzania mara nyingi tunatumia Jembe aina ya disc plough,
figure no. 2 Disk plough
3. HARROW (DISK HARROW)
Harrow inapitishwa sehemu ambayo jembe la tractor limepita, kazi ya harrow ni kusawazisha udongo uliochimbwa na jembe la trekta, uwe level. Kazi nyingine ni kukata kata majani au magugu yaliyopo shambani pia inaruhusu hewa kuingia kwenye udongo. Harrow zipo za aina nyingi na zinatumika kulingana na jinsi eneo lilivyo, kwa leo sitaelezea sababu ninataka tu ujue kifaa kinachoitwa harrow,lakini mara nyingi kwa Tanzania tunatumia disk harrow
figure no. 3 disc harrow
4. MULCHER
Kazi kubwa ya mulcher ni kuandaa eneo la shamba yaani kufyeka mapori na kukata miti na kung'oa visiki vyote. Machine hizi mara nyingi ikija ikiwa nzima ni gharama sana, ndio maana wengi wananunua mulcher ambayo inafanya kazi kama implement(implement ni vifaa vinavofungwa kwenye tractors mfano jembe, harrow, planter)
fig no. 4. mulcher
5. PLANTER
Kazi kubwa ya planter ni kupandia mazao mbalimbali ya shambani kama neno lenyewe linavyojieleza.
fig no. 5 planter (picha ya planter inafanya kazi ikiwa imeunganishwa na trekta)
6. BOOM SPRAYER
Kazi kubwa ya boom sprayer ni kupulizia dawa shambani kwa ajili ya kuuwa wadudu au kwa ajili ya kuzuia majani kuota (wenye mashamba makubwa sana mara nyingi hawapalilii mashamba yao bali wanapuliza dawa inayozuia majani kuota)
fig no. 6 boom sprayer
7. COMBINE HARVESTER
Hii ni machine ambayo inafanya kazi ya kuvuna, inaitwa combine harvester kwa sababu inafanya kazi zaidi ya moja katika kuvuna, kwa mfano katika kuvuna mahindi itakata mahindi inayatoa maganda mahindi halafu inayapukuchua kwa wakati mmoja. Combine harvester inaweza ikawa ni machine maalamu kama ilivyo kwenye picha, hapo chini au inaweza ikawa kwa mfumo wa implement(yaani kama kifaa chenye uwezo wa kuvuna lakini kinafungwa kwenye tractor, kama unakumbuka mara ya kwanza kabisa nilikuambia kuwa tractor lina linafanya kazi ya kuvuna)
fig. no 7 combine harvester
8. POWER TILLER
Power tiller kwa jina jingine inaitwa walking tractor, inafanya kazi kama tractor tu hebu rejea kazi za tractor hapo juu isipokuwa power tiller inafanya kazi ndogo ndogo sio kama tractor.
fig no 8 walking tractor, power tiller
HITIMISHO
Kuna mashine nyingi sana ambazo zinatumika katika kilimo na sijazitaja, nimetaja vifaa vya msingi vya shambani kwanza, kuna vifaa kama vile matela ya matrekta , machine za kupukuchua mahindi, kukoboa mpunga na nyingine nyingi. Kwa leo ninaishia hapa naomba uwe karibu na uzi huu nitakuwa nina update mara kwa mara bila kusahau kwa ushauri au manunuzi ya vifaa mbalimbali piga simu 0763936825 pia follow account ya instagram kwa kubinyeza hapa (www.instagram.com/engineer_xi) then follow, usisahau kubonyeza link kwenye bio ya instragram ambayo itakusaidia kupata taarifa mbalimbali za agromachines
Naomba mnisamehe kwa upande wa lugha na spelling kama nimekosea nitaomba mnirekebishe pia naomba utoe ujuzi zaidi ambao hata mimi unaweza kunisaidia kujua zaidi ninayathamini mawazo yako, please challenge me✌✌✌✌🙏peace
kama unahitaji tractor au machine yoyote piga simu 0785471806 AU 0763936825 NINAPATIKANA DAR ES SALAAM
TUPAMBANE NA CORONA KWA PAMOJA MWENYEZI MUNGU tunamwomba ATUSAIDIE🙏🙏🙏

- Tractor linatumika kwa ajili ya kulima
- Tractor linatumika kwa ajili ya kubeba mizigo
- Tractor linaweza likatumika kwa aili ya kuvuna
- Tractor lina tumika kwa ajili ya kupulizia dawa shambani
- Tractor lina tumika kupanda mazao mbalimbali ya kilimo
- Pia kupukuchua mahindi kukoboa mpunga, kupasua mbao n.k

peace