πΎπ₯ AGRO MIFUGO GEN Z TALK GEN Z, TUNAWEZA KUBADILISHA KILIMO NA MIFUGO! ππ
Nani kasema kilimo ni cha wazee? π
Kizazi chetu kina teknolojia, ubunifu na nguvu ya kufanya mambo makubwa. Kilimo na ufugaji si shughuli za kujikimu tu β ni biashara, ni fursa, ni future yetu! π°π±
Leo tunataka kusikia kutoka kwenu:
π SWALI LA LEO:
Kama ungepewa mtaji wa TSh 1,000,000 leo, ungewekeza kwenye nini?
π½ Kilimo cha mazao
π Ufugaji wa kuku
π Ufugaji wa ng'ombe
π Ufugaji wa samaki
π± Agritech β teknolojia ya kilimo
Comment hapa chini π Tuone Gen Z wenye maono!
#AgroMifugo #GenZTalk #KilimoBiashara #Agribusiness #VijanaNaKilimo #Tanzania #YoungFarmers