Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,681
- 11,122
Hili dili la parachichi sijui kama wataliweza, maana mchina amewaambia lazima zimenywe na zisafirishwe zikiwa na ubaridi wa -18 degrees centigrade. Yaani mchina anaendelea kuwatia vidole hawa jamaJIWE awapenda saana wakenya kaona awachie bandari ya mchina ijengwe kwao ili wapate urahisi wa kusafirisha parachichi