Agoa: Nani anawajua vema?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,262
Kuna mdau hapa anajihusisha na huu mpango wa AGOA? Yani kusafirisha bidhaa kwenda USA.

Kama yupo naomba anijulishe kwani nahitaji maelezo kiasi niyafanyie kazi
 
hawa ni wezi wa mchana wakiwakilishwa na viongozi mafisadi wa kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…