Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,230
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA) Agnesta Lambert Kaiza amesema wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo hilo wamemwambia kuwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu kura ya Urais watampigia mgombea wa CCM Samia Suluhu Hassan, huku kura ya Mbunge na Diwani wakiipiga kwenda wagombea wa CHAUMMA.
"kwa sababu wana-CCM wanaenda kupiga kura ya ukombozi wana-CCM kindaki ndaki wao wanasema sisis ni CCM kindaki ndaki sisi ni viongozi wa CCM tunapaswa kukilinda chama kwa nguvu zote wanasema mwaka huu sisi kama makada wa CCM mwaka huu nafasi ya Urais tutamchagua Mwenyekiti wetu wa chama, Mwenyekiti wao wa chama ambaye ni Samia Suluhu Hassan, lakini wanasema miaka yote tumekuwa tukiitii mamlaka ya CCM tunachagua mafiga matatu, awamu hii wamesema hawapigi wanasema Ubunge wanaipigia CHAUMMA na Udiwani wanaipigia CHAUMMA" amesema Agnesta