Agiza korosho kwetu

Agiza korosho kwetu

TZ-1

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
4,761
Reaction score
8,406
Closed
 

Attachments

  • IMG-20211130-WA0028.jpg
    IMG-20211130-WA0028.jpg
    18.4 KB · Views: 13
Hongera mkuu kwa ujasilia mali. Korosho zako zimekaangwa kwa mafuta, kuokwa au kuchomwa kwenye vigae? Na Dar unapatikana wapi?
 
Duuh gharama za usafiri toka mtwara hadi huku kama nataka za kula tu si bora ninunue hapa hapa town.

Halafu mkuu kwa ushauri tu biashara ya kutuma hela then mtu akutumie mzigo bado ni risk sana kibongo bongo.
 
Nawez kutuma ukalpa utapoupokea.
Duuh gharama za usafiri toka mtwara hadi huku kama nataka za kula tu si bora ninunue hapa hapa town.

Halafu mkuu kwa ushauri tu biashara ya kutuma hela then mtu akutumie mzigo bado ni risk sana kibongo bongo.

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Habari wanajamvi, japo nimekuja kvingne ndio hivyo naombaa mnipokee na mnitangazee na muwe wateja kwa hili ninalowapa

Nimekuja na biashara yangu ya korosho kama mjasilia mali , Korosho zangu ni kutoka Tandahimba na NEWALA tuu (ambako ndiko ztokazo korosho bora zaid tz). Korosho ninazouza ni korosho iliyobanguliw (goods)

Kwa sasa bei elekezi ni kg 1$6 - kwa wateja wa Tshs ni 12500/- hiyo haijajumuisha gharama za kutumiwa mzigo.

NB:- bei hapo juu ni bei ya jumla kuanzia KG5

Reja reja tshs 15000/- pamoja na kifungashio maalumu (bila usafiri). Korosho zetu ni grade I White & brown zpo .utatumiwa mzigo wa korosho ambao haujavunjika pia unakaribishwa kufika na kujionea.

Unawez kulpa nusu na bei ya mzgo na baada ya mzko kufka utalipia kiasi kilichobak papo hapo.

Contact na mimi
+255652810180.
Pia karibu DM

Karibuni muweke oda zenu.


View attachment 2027913
Natafuta shamba la kulima korosho
 
KWA bei hiyo,zisafirishe mwenyewe Kisha uelekeze watu wapi wataeza kupata KWA Dar es salaam,lakini kutumiwa KWA bei hyo na usafiri ni watu hapo uongo,hebu pita kisutu ukute bei yake ni 18000 Kushuka chini KWA kilo
 
Back
Top Bottom