Agiza gari yako na SBT Tanzania

Agiza gari yako na SBT Tanzania

Samahani ndugu, Ipilimo unatokea Malangali?
NIMEISHI HUKO NDUGU YANGU JAPO KWA MIEZI KADHAA HAPO ZAMANI KIDOGO...MZEE WANGU ALIKUWA MWALIMU iTENGULE SEKONDARI....Ipilimo inasadifu kijiji fulani
 
Mwanza mna ofisi?
Hapana ofisi zipo Dar tu, ila huduma popote, maana tunahudumia watu wa DRC,Zambia, Malawi; wanakuja au wanacheki mtandaoni sisi tunamalizia. Kumbuka unaweza kuagiza mwenyewe mtandaoni lakini kwa uhakika zaidi na urahisi katika kuagiza gari yako wasiliana nami au Sales wengine waliopo ofisini. Kila sales hutafuta wateja na kuwa assist kupata gari kupitia SBT Japan. Kwaivo karibu, ukiwa huko huko Mwanza tunaweza maliza biashara ikabaki wewe kuja kuchukua gari yako ndani ya siku 45. Nipigie 0754734009 kwa maelezo zaidi.
 
Mkuu hilux d4d 2012 model 2.5L naipata kwa bei gani full cost
MKUU GARI HII NI GERMANY ORIGINAL, IPO INAPATIKANA KWA TSH 78.5ML
MILEAGE: 155,000KM
DOUBLE CABIN
BLACK
YEAR 2012
GRADE 4
 
Attachments

  • double cabin hilux.jpg
    double cabin hilux.jpg
    39.7 KB · Views: 81
  • dcabin hilux.jpg
    dcabin hilux.jpg
    37.7 KB · Views: 76
  • HILUX BLACK.jpg
    HILUX BLACK.jpg
    22.6 KB · Views: 65
NIMEISHI HUKO NDUGU YANGU JAPO KWA MIEZI KADHAA HAPO ZAMANI KIDOGO...MZEE WANGU ALIKUWA MWALIMU iTENGULE SEKONDARI....Ipilimo inasadifu kijiji fulani
Asante sana. Nimekuelewa mimi ni mwenyeji wa Malangali.
 
Sbt wana huduma nzuri sana na pia ni watu wenye customer care nzuri shida yao ni kweli kulipa wakati beforward hawana customer care kivile ila huduma yao ni nzuri kwani ukiwa na hera unaweza lipia pale pale ofisini kwao sio lazima uende bank mara ufungue akaunt ya usd.
 
Give us a break!
Najuta kununua gari SBT, natumiwa email na kupigiwa simu every two days at the maximum - kuna siku napigiwa simu more than thrice. Simu zenyewe ni kuulizwa ni lini nitanunua gari kwao utadhani gari ni mkate unaoliwa na kuisha kila siku. Kwenye website kuna option ya ku-unsubscribe lakini nadhani hiyo ndio hualika emails na simu zisizoisha. SIMSHAURI MTU YEYOTE KUSHAWISHIKA KUWASILIANA NA SBT (ACHILIA MBALI KUNUNUA GARI KWAO) UNLESS KERO HII NINAYOIELEZA HAPA NI HOBBY KWAKO.
 
Hao jamaa kwa kupiga simu za kipuuzi ndio wenyewe.
 
Tutakuaminije ili tukupe kazi ya kuagiza gari?
Karibu ofisini.. Kimara mwisho. Ofisi ipo wazi saa 2:30 asbh mpaka saa 11:30 jioni.
Tuna testimonials pia tunasainiana Official agreement yetu. Hata Hivyo mchakato wa malipo ya Gari huwa tunatumia invoice ya kampuni Muuzaji na unalipa kwa account yao.. Kiufupi mchakato ni shirikishi kwa kila hatua.
Mpaka sasa ofisi yetu imeshawahudumia wateja 15 hasa wa nje Ya Dsm, wanakujaga kuchukua gari zao tu mda ukifika, na wengine tunatoa delivery service to their places.
Mhimu ukiwa Dsm, tutembelee. Asante
 
Back
Top Bottom