Agiza Gadget yoyote uipendayo kutoka UK

Agiza Gadget yoyote uipendayo kutoka UK

GreenHouse

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
280
Reaction score
262
Kutokana na sababu za kibiashara. Hatuagizi tena gadgets kutoka UK wala kokote duniani.
 
Habari wana JF,
Kama unahitaji Gadget yoyote kutoka UK, iwe simu, laptop, tablet, smart phone, digital camera nk... unaweza kuwasiliana nami. Ntakununulia na kukuletea kisha utalipia ikishafika na kukukabidhi...
Angalizo: Unapoagiza hakikisha una pesa taslimu za kulipia kwani mzigo ni kati ya siku 7-10 unakuwa tayari umefika.... kwahiyo jipange... Sikopeshi...
NB: Chochote utakachoagiza utalipa gharama ya manunuzi taslimu iliyo kwenye risiti, shipping cost na service charge ya pound 20 tu.. yaani aprox elf50.

Kwa mawasiliano, PM au piga simu namba 0714881500.

Shukran, na Karibuni Sana.

Una deal na brand new tu au hata used ? esp in lap tops....
 
Nadeal na chochote kile, kama unataka mpya au used ntakusaidia kununua na kukuletea, ukitaka kuona bei ya products mbali mbali pia ntakupa websites zinazouza bidhaa uzitakazo ili uone bei zikoje na uhalisia wa unachonunua.
Karibu sana.

NB: Used gadgets hazina fixed price, kama una muda wa kusubiri naweza kukutafutia taratibu... mpaka utakapopata unachotaka kwa budget yako.
 
Habari wana JF,
Kama unahitaji Gadget yoyote kutoka UK (New/Used), iwe simu, laptop, tablet, smart phone, digital camera nk... unaweza kuwasiliana nami. Ntakununulia na kukuletea kisha utalipia ikishafika na kukukabidhi...
Angalizo: Unapoagiza hakikisha una pesa taslimu za kulipia kwani mzigo ni kati ya siku 7-10 unakuwa tayari umefika.... kwahiyo jipange... Sikopeshi...
NB: Chochote utakachoagiza utalipa gharama ya manunuzi taslimu iliyo kwenye risiti, shipping cost na service charge ya pound 20 tu.. yaani aprox elf50.

Kwa mawasiliano, PM au piga simu namba 0714881500.

Shukran, na Karibuni Sana.

Natafuta mini / pocket projector kwa dar es salaam

Msaada kwa yeyote yule anayeweza kunisaidia kupata mini projector usb connection kwa ajili ya laptop anijulishe PM au hata hapa.

Gw46MNCPTeMiR8W1fQBppfAH Fzoq0GyWfXqOAAAAAElFTkSuQmCC
 
Nimekujibu kwa PM Kiongozi.
 
Nadeal na chochote kile, kama unataka mpya au used ntakusaidia kununua na kukuletea, ukitaka kuona bei ya products mbali mbali pia ntakupa websites zinazouza bidhaa uzitakazo ili uone bei zikoje na uhalisia wa unachonunua.
Karibu sana.

NB: Used gadgets hazina fixed price, kama una muda wa kusubiri naweza kukutafutia taratibu... mpaka utakapopata unachotaka kwa budget yako.

Poa, nitakucheki after some time.....kupitia namba uliyoitoa.
 
Kaka asante naomba unisaidie kitu fulani nataka niagize simu ila sijui kuna gharama nyingine nje ya cost za kununua mfano laptop nje ya nchi endapo wanakuambia free shipping ikifika nchini utalipia nini na wapi??????
 
Back
Top Bottom