Agiza bidhaa kwa Bei nafuu

Agiza bidhaa kwa Bei nafuu

Godfirst

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
412
Reaction score
477
Bidhaa Toka China jipatie kwa Bei nafuu kwa wale wa madukani upate faida maradufu.
Hereni set 10,000
Bag set elfu 35
Taulo set elfu 15,000 zipo nne.
0757066208
IMG_20200613_111459_935.jpg
IMG-20200613-WA0015.jpg
IMG_20200613_111238_194.jpg
 
Ok tuwekee screenshot ya leseni yako ya import tuonee kama uko legit
 
Hujaweka tangazo vizuri, utaratibu wa manunuzi,usalama wa fedha za mteja,upo wapi na weweni nani
 
Ok tuwekee screenshot ya leseni yako ya import tuonee kama uko legit
Tupo in partnership boss unaweza kwa kuanza na vitu kidogo ili kujenga uaminifu lengo ni kufanya biashara na si vinginevyo.
 
Lengo ni kufanya biashara ndugu hivyo kw aaliye serious anaweza nicheki afike mpk kwenye ofisi Kuna bidhaaa nyingiine nyingi hizo no sample tu Kama raba , viatu , kanga
Hela zipo mahali salama najua uaminifu ni shida kidogo lakin tukianza kidogo kidogo nadhani tutafika.
 
Back
Top Bottom