Morning Joy Motors
Member
- Jan 20, 2026
- 78
- 108
UTANGULIZI
Je, kuna gari umeiona na unataka kununua toka nje ya nchi kwa sababu hapa Tanzania kwa namna moja ama nyingine gharama ziko juu?
Je, Gari uipendayo umekuta gharama iko juu kuliko bajeti uliyotenga kwa sasa ?
Kama jibu ni NDIYO, basi huduma yetu sisi @morning_joy_motors inakuhusu!
Thread hii ni maalumu kwa wale wanaohitaji kununua aina yeyote ya gari na mitambo toka nje ya nchi.
Magari na mitambo ambayo hayapatikanii Tanzania au yanapatikana lakini kwa gharama ya juu sanai
Sasa thread hii itajikita katika maeneo kadhaa muhimu
1. ELIMU NA USHAURI (ENU): Kabla ya sisi hatujapokea order yako na kufanya manunuzi ya gari yako ama mtambo wako kutoka nchi tofauti tofauti ikiwemo nchi kinara kama Japan na makampuni makubwa kutokea nchini humo kama vike BE FORWARD , SBT, AUTOCOM, NIKKYO, ROYAL TRADING, ENHANCE AUTOS, A A JAPAN, REAL MOTORS JAPAN, RAMADBK, TRADECARVIEW, JAPANESE CAR TRADE, SAKURA, KURIYAMA.Na nyinginezo nyingi ambazo utakua umeona gari yako!
(a) Katika huduma yetu hii ya ELIMU & USHAURI ambayo kwa kifupi ni "ENU'' Utaweza kuelimishwa kuhusiana na gari ama mtambo unaotaka kununua kutoka kwa kampuni pia ni jukumu letu kuhakikisha kwamba gari hizo ziko kwenye hali nzuri kama zinavyoonekana na hazijawahi kupata ajari ama kusombwa na mafuriko kisha kukarabatiwa na kuuzwa huku
Kwasababu wauzaji wengi wamekua na michezo hiyo yakuuza magari ambayo yaliwahi kupata ajali kisha kukarabatiwa ama yaliwahi kusombwa na mafuriko na kutengenezwa. Kitu ambacho kinafanya gari hizo zikifika huku zisiweze kudumu kwa muda mrefu kwasababu tayari zinakuja zikiwa na changamoto
(b) Mtandao wetu wa wataalamu watafanya kazi yao ya kufanya physical inspection ya gari ama mtambo unaotaka kuagiza , watakagua hali yake physical kwanza kisha wataturejeshea majibu ikiwa tuendelee na zoezi la malipo au tuangalie gari lingine ambalo lina ubora makini.
WAJIBU WETU SISI @morning_joy_motors NI NINI ?
1. Kulikagua gari physical na kuhakikisha ubora wake kabla hatujakununulia
2. Kusimamia zoezi zima la usafirishaji wa gari ama mtambo wako
3. Kusimamia mchakato mzima wa forodha hadi kukabidhiwa gari ama mtambo wako.
2. MALIPO YA AWAMU YA HATA MIEZI 36 :
Pengine umeona gari fulani au mtambo fulani mtandaoni na ukatamani kuagiza lakini kwa namna fulani inakuwia ngumu kwasababu ukipiga hesabu unaona kabisa gharama zitaathiri budget yako
Sasa kwa kuzingatia sababu hizo huduma hii ndipo ilipoanzishwa kwamba ikusajdie kuweza kukufanikishia kumiliki gari lako ama mtambo wako kwa malipo ya Advance tu na kukupa muda wa kutosha kujipanga kwaajili ya malipo hayo!
( malipo kidogo kidogo kwa miezi 36 )
Bila kuwa na stress!!!
HATUA GANI ZA KUFUATA ?
1. Tafuta gari uipendayo kutoka kwa muuzaji wa nje wa chaguo lako mfano ; BE FORWARD , SBT, AUTOCOM, ENHANCE AUTOS , n.k
2 Sasa baada ya hapo chagua gari unayoipenda kutoka katita website ya muuzaji uliyechagua
3. Tutumie link , stock ID au picha ya hiyo gari unayohitaji na ambayo umechagua.
Utatutumia link mara moja kupitia whatsapp number yetu ya ofisi (+255797113153)
4. Tutaikagua link, tutakupigia hesabu nzima kwa uwazi na tutakujulisha gharama nzima na advance unayotakiwa kuilipia.
5. Utakuja ofisni kwetu
( Ofisi yetu ipo ground floor frame number 016 kwenye Jengo la Condo Hotel Kaloleni Arusha , mkabala na Kanisa la Shalom Church )
Tuta-sign makubaliano ya kisheria
kisha utapewa invoice ya kufanya malipo kupitia bank na baada ya hapo utatutumia uthibitisho wa malipo.
6. Ndani ya muda mfupi sisi tutakua tumelipia gari yako na tutakuonyesha ushahidi wa mchakato mzima na hatua ambazo gati yako imefikia
Utaendelea kupewa Update za mara kwa mara kulingana na Exporter anapokua anazituma hadi gari lako kufika nchini TANZANIA
7. Gari yako itachukua maximu ya siku 45-50 hadi kuwa imewasili TANZANIA
AINA MBILI ZA WAUZAJI MAGARI UNAPASWA KUFAHAMU
Aina ya kwanza – Wauzaji wanaouza magari mchanganyiko yaani ya biashara , binafsi , mitambo , soares n.k -
Aina ya 2 - Wauzaji wanaouza tu magari ya biashara mfano malory, magari ya abiria , magari ya mchanga, ma trailer
Mapya na used , mitambo ya ujenzi , magari ya migodini n.k
Kwahiyo Delivery time ya makundi haya mawili inatofautiana kulingana na kwamba hayo ni magari malubwa hivyo mchakato wake wakupata booking ya meri ni tofauti kidogo na hizi gari zingine ambazo ni za kawaida
Office Location :
Morning Joy Motors
Tupo ground floor frame number 016 kwenye Jengo la Condo Hotel Kaloleni Arusha , mkabala na Kanisa la Shalom Church.
Kuhusu Sisi
Sisi ni Morning Joy Co., Ltd tunajihusisha na masuala yote yahusianayo na Ushauri, elimu , uagizaji na uuzaji wa magari aina zote kwa biashara ama matumizi binafsi sambamba na mitambo
KWANINI UTUCHAGUE SISI ?
1. Tunakupa wigo mpana wa kufanya machaguzi pamoja na elimu na ushauri wa gari unayotaka kuagiza
2. Tunakufikishia Gari lako ndani ya siku 45 - 50 Tu
3. Tunafanya mahesabu yote ya gari lako kwa uwazi
4. Tunakuwezesha kuagiza na kumiliki gari lako kwa malipo ya awamu zaidi ya moja.
( Maximum hata miezi 36 baada ya malipo ya awali )
5. Tunazingatia uzima na ubora wa gari utakayo agiza kwa sababu wataalamu wetu waliopo huko gari inapotokea watajiridhisha kwa kuifanyia ukaguzi wa kina kabla ya kuilipia na kupanda meri
6. Tunatoa ofa mbalimbali pamoja na zawadi
Karibu ofisini kwetu ,
tupo wazi Jumatatu hadi ijumaa - Saa 0800 hadi saa 17:00hrs
Jumamosi Saa 08:00 hadi saa 13:00hrs
Tunapatikana ground floor frame number 016 kwenye Jengo la Condo Hotel Kaloleni Arusha , mkabala na Kanisa la Shalom Church
Unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba yetu rasmi ya ofisi +255797113153 / whatsapp / simu za kawaida n.k
email morningjoymotors@gmail.com
Good Morning, The Joy Has Came!