Aggreko yakwepa kodi 10bn/-

Aggreko yakwepa kodi 10bn/-

zipo tetesi kwamba wanakaribia kupata contract ya kutengeneza umeme kwa mafuta ya dizeli, tanga na dar....sijui kama ni kweli ila utata upo kwenye kutumia dizeli...itakuwa ghali sana
 
zipo tetesi kwamba wanakaribia kupata contract ya kutengeneza umeme kwa mafuta ya dizeli, tanga na dar....sijui kama ni kweli ila utata upo kwenye kutumia dizeli...itakuwa ghali sana

Waliikimbia nchini mwaka 2006 ili kukwepa kulipa kodi ya shilingi bilioni 10 na si ajabu zaidi, sasa wamerudi tena kuendeleza ufisadi wao na sijui kama hata wamekumbushwa kwamba wana deni la kodi la shilingi bilioni 10 ambalo ukiweka na riba tangu na late payment charges linaweza kuwa hata zaidi ya mara mbili ya hicho kiasi cha shilingi bilioni 10.
 
Back
Top Bottom