Agents wanahitajika kila wilaya - urgently

Agents wanahitajika kila wilaya - urgently

VipodoziMbeya

Member
Joined
Sep 17, 2014
Posts
7
Reaction score
0
Tina Educational Centre ni watengenezaji wa video za masomo mbalimbali kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita.
Kwa sasa tunahitaji Agents kila Wilaya Tanzania. Kwa sasa tuna DVD (VIDEO) ya maswali na majibu kidato cha pili kuanzia mwaka 2009-2013.

DVD inauzwa Tsh 2500/= kwa Agent na Agent atauza 3000 - 5000 kutegemea eneo husika.

Piga 0783 566 761 au 0767 466 761 kwa maelezo zaidi.
 

Attachments

  • Tina-Educational-Center - Copy.gif
    Tina-Educational-Center - Copy.gif
    17.3 KB · Views: 141
  • DVD Round.jpg
    DVD Round.jpg
    103.2 KB · Views: 137
Ndugu mmejiwekea security gani kuhakikisha hakuna kudurufu nakala? Mnamlindaje agent kwamba ananunua mwanafunzi mmoja ama shule kisha zinatolewa nakala nyingi nyingi!
 
Piracy ni challenge ya Dunia ila tumejitahidi kuipunguza kwa asilimia kadhaa.
 
Back
Top Bottom