Agents wa CIA walichotuzidi ni msimamo tu

Ole Sabaya, Ramadhani Ighondu na yule aliemtolea Nape bastola, TISS gani hiyo ni takataka kabisa mavi ya popo
You better shut up.

Mtu kujiita TISS siyo ticket ya kuitusi taasisi
 
Wamatuzidi vingi. Acha kujitoa ufahamu
 
Huyu Ni kjn wa lumumba alieandk huu uzi
 
Usijidanfanye, hata hao CIA wana bosi wao ambao wewe hinhing na ndiye anayeamua, hivyo acha kujidanganya hata waliomuua Kennedy ni bankers ambao wana ajenda zao pia.
mkuu naweza pata kitabu/jarida linalo husu hao bankers kujua zaidi?
 
80% ya hizi security services hasa african( 97%) ni kwa ajili ya security to serve those in power na sio civilians and their nation.
 
Nasikia PK naye ni CIA pia. Ndio maana anajidai sana.
 
Hakuna kitu huharibu Utendaji wa taasisi nyeti za usalama kama kuingiliana na siasa mwisho wa siku vinakuwa havina msaada kwa taifa zaidi ya kuwalinda wanasiasa wahalifu.
Nchi yoyote maskini na unstable tatizo huwa linaanzia hapo.
 
Nilidhani akili unayo kumbe unaongozwa na matukio zaidi ya facts.

Tafuta sheria inayounda TISS ukasome nani mwenye mamlaka ya kushtaki au kupeleka mashtaka mahakamani...
Acha uzalendo mavi, palipo na tatizo ukweli usemwe ili parekebishwe. Kuna shida mahala kwenye mfumo wa TISS.. Hii aimaanishi kwamba TISS hawafai au hawajui majukumu na wajibu wao, au kwamba hawana ubora wa kukabiriana na kiwango walichopo na mazingira waliyopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ