Bigeso JMR
Member
- Jan 6, 2014
- 14
- 2
be seriousWamesema tusile unga, sijui ugali tutasonga na nini? Je ni kipi special ktk huo unga wako.
Ndugu wapenzi wa JamiiForum Salaam zenu!
Mimi naprocess na kupaki unga safi wa sembe na dona kutoka jijini Mbeya kwa jina la MBEYA FOOD. Unga ni Mzuri sana wadau.
Kwa sasa nahitaji maajent wanaoweza kuuza huo unga jijini Dar es salaam. Nitakuletea huo unga hadi dukani / ofsini kwako ila unatakiwa kununua kuanzia nusu tani ambayo inaghalimu sh 475,000 na kwa mahitaji ya Dar nahisi utauza ndani ya siku tatu mpaka nne unakuwa umemaliza huo mzigo.
Unaweza kupiga 0783566761 kwa mawasiliano zaidi au Email: mbeyafood@bmmarketing.co.tz
fanya research mwenyewe hii sio siasa ni biashara sawahapo kwenye red unatoa proof ipi
fanya research mwenyewe hii sio siasa ni biashara sawa
lengo ni kutengeneza ajira kwa vijana ambao mnaona 450,000 ni hela kubwaMbona mkali sana
450,000 ni hela nyingi kwa kundi ulilo li target. Hivyo toa maelezo ya kina
au uza mwenyewe huo unga wako kama ni rahisi kiasi hicho.
Ndugu wapenzi wa JamiiForum Salaam zenu!
Mimi naprocess na kupaki unga safi wa sembe na dona kutoka jijini Mbeya kwa jina la MBEYA FOOD. Unga ni Mzuri sana wadau.
Kwa sasa nahitaji maajent wanaoweza kuuza huo unga jijini Dar es salaam. Nitakuletea huo unga hadi dukani / ofsini kwako ila unatakiwa kununua kuanzia nusu tani ambayo inaghalimu sh 475,000 na kwa mahitaji ya Dar nahisi utauza ndani ya siku tatu mpaka nne unakuwa umemaliza huo mzigo.
Unaweza kupiga 0783566761 kwa mawasiliano zaidi au Email: mbeyafood@bmmarketing.co.tz
Niliingia mbio mbio kumbe unazungumzia unga wa ugali. BYE