Age test

Hahahahahaha,

Hiyo ilikuwa kifaa muhimu kwani tape players za zamani zilikuwa haziwezi kurewind tapes.... Kwa hiyo lazima mtu utumie pen kurewind tape!!

Ila baadaye kidogo zikaja autorewind...

Hizo kanda za dak 90 sikuzipenda kabisa!!
 
Reactions: Paw
mi nilikuwa nazipenda sana hizo transparent unaona mpaka ndani,
 
Ni kwa ajili ya kusogeza mbele na kurudisha nyuma nyimbo
Nalog off
 
nakumba BASF, TDK, SONY, SANYO aina Chrome na Metal
 
Dot com watabaki wanashangaa,

Wanaweza kusema ni kwa ajili ya kuandikia label.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…