Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 3,519
- 8,969
- Thread starter
-
- #41
Kweli kabisa mkuu, maisha yangekuwa bored sana. Imagine unaishi hadi unaanikwa uote jua la asubuhi halafu unaogeshwa, kusafishwa, kulishwa na kufanyiwa kila kitu. Kifo ndio rafiki wa kweli.lakini mkuu dunia hii jinsi ilivyo na hekaheka namna hii, hamna maana kuishi milele
Tayari mkuu.Basi sawa, umekula lakini?
Umeongea hoja fikirishi sana kuhusu kula/mlo. Kama ulivyoeleza Kuna mambo tumerithi tunayafuata tu.Kuna mafundisho tumepewa yapo chaka. Mfano swala la aliyeanzisha tabia ya milo mitatu kwa siku alilenga nini? Baadhi ya behaviour zimejengwa kwa kurithi na zikatengeneza strong emotions kwenye mindset zetu. Inawezekana kungekuwa na tabia ya mtu kula mara moja in every 3days aging ingepungua na longevity ingeongezeka pengine mara 3 ya umri wa sasa. Sasa sijui population ingekuaje
Hata kuishi muda mrefu huenda ikawa inawezekana sababu 2nd Law ya thermodynamics inasema in a closed area system shut down, ukiangalia engine ya kuishi kwetu ipo kwenye mitochondrial cell inapopata error ndio huenda tukawa tunazeeka mapema hivyo labda ingekuwa na uwezakano wa energy kuflow in kutokea nje Theoretically huenda tungeishi miaka mingi mno. Kama watu wazamani, main figure wa dini zote na mabudha walifanya meditation ku ruhusu energy kuflow in kutokea nje. Kuna kiumbe wa kwenye maji anaitwa hydra huyu inasemekana anaweza kuishi milele bila kuzeeka, ukiondoa vifo vya ajali, magonjwa, njaaH
Daktari, hapa issue sio kuishi milele. Hapa tunaongelea kuhusu Deoxyribonucleic acid( DNA) ni blueprint ya maisha kwa ajili ya kubeba genetic instructions na storage ya genetic information na traits. Jikumbushe kusoma madesa kazi za DNA ndio utagundua issue ya aging haipo katika DNa isipokuwa imepandikizwa katika mind set ambayo ukiishi inaku affect. Tuchimbe deep tutajifunza na kugundua tulilishwa matango pori.
Mkuu dosho12 nashukuru sana kwa nondo ya 2nd law of thermodynamics upo vizuri sana. Umenikumbusha mbali. Nilifundishwa physics na marehemu Eng. Mzee Kazibure, Tambaza enzi hizo wahenga wananamfahamu.Hata kuishi muda mrefu huenda ikawa inawezekana sababu 2nd Law ya thermodynamics inasema in a closed area system shut down, ukiangalia engine ya kuishi kwetu ipo kwenye mitochondrial cell inapopata error ndio huenda tukawa tunazeeka mapema hivyo labda ingekuwa na uwezakano wa energy kuflow in kutokea nje Theoretically huenda tungeishi miaka mingi mno. Kama watu wazamani, main figure wa dini zote na mabudha walifanya meditation ku ruhusu energy kuflow in kutokea nje. Kuna kiumbe wa kwenye maji anaitwa hydra huyu inasemekana anaweza kuishi milele bila kuzeeka, ukiondoa vifo vya ajali, magonjwa, njaa
Ukielewa kwann kina Adam na wengine waliishi miaka 930 utaelewa nachosema.somaYou can't live forever , death is human nature , how you can go against with nature.
ur still believing in this scriptures hii dunia ina zaidia ya miaka million endelea kuamini mambo ambayo never existUkielewa kwann kina Adam na wengine waliishi miaka 930 utaelewa nachosema.soma
Mhubiri 3:11
Kila kitu amekifanya kizuri kwa wakati wake; tena ameiweka hiyo milele ndani ya mioyo yao; ila kwa jinsi mwanadamu asivyoweza kuivumbua kazi ya Mungu anayoifanya, tangu mwanzo hata mwisho.
Hayo unayoona na mapokeo yake uko progammed kuyaamini (mfano kifo) ili kukukeep kweny hiyo loop.ur still believing in this scriptures hii dunia ina zaidia ya miaka million endelea kuamini mambo ambayo never exist
Dini is project ikiwa Mungu ni mmoja kwanini kuna dini zaidi ya moja?Hayo unayoona na mapokeo yake uko progammed kuyaamini (mfano kifo) ili kukukeep kweny hiyo loop.
You are correct 💯 scientifically Kuna jamaa mtabe ashawahi kuniambia kuwa Kila kiumbe kina kisukari na kina kansa,shida inaanzia kwenye conditioning Kwa maana ya kuwa kama sukari haijabalance ndio unakuwa ugonjwa,either ikipungua chini ya kiwango au kuzidi juu ya kiwango,Kwa hiyo hapo ni lifestyle issues tu na wajanja globally hawataki ujue Kwa sababu kwao ni biashara yenye faida kubwa sana. Kuhusu cancer ni the same everybody has got the said cancer,hali ni ile ile cells zinazokufa je zinatolewaje,kama zinakosa passage ya kutoka iliyo na nafasi kubwa zina accumulate na kuanza ugonjwa wa kansa. Unapata jawabu kuwa ishu ni ile ile tu lifestyle issues, wajanja Duniani hawataki ujue Kwa sababu ni biashara kubwa sana kwao. Kwa hiyo sio kama kufa hatufi ila kufa mapema na huku unateseka ndio ishu hapo. Au kuzeeka huku unaumwa pia ishu hiyo. Japan na china Kuna vizee above 100 years viko active kuliko mtu wa makamo wa Tanzania wa miaka 55 na kuendelea hapa mshedede wengi wao hazipigi wiper zishafeli,ishu ni ile ile tu lifestyle and beliefs. Kwa iyo unachosema ni Sahihi kabisa,ila uelewa wa watu ni tofauti kabisa Kila mtu ana uelewa wake. Nina Babu yangu anakwenda 95 mpaka kesho anavuta tumbaku ila anasema hajawahi kuvuta Sigara na hajawahi kuumwa serious na kulazwa na bado ana nguvu zote na anakula zaidi ya tunavyokula vijana. Tofauti yake na watu wengi ni kuwa hajawahi acha kufanya KAZI shambani kwake hali chakula hovyo hovyo zaidi ya vyakula anavyozalisha mwenyewe.Mada yetu inahusiana na uhusiano wa kuzeeka na kifo. Hakuna sehemu nimeandika kwamba hakuna death au kifo. Tafadhali tuliweke sawa hilo.
Binadamu kama mnyama uumbaji wa molekuli zao/zetu wote unafanana navkushabihiana kwa kiasi kikubwa katika molecular level au biochemical level.
Katika ngazi ya seli/ Cell Kuna hatua inatokea inaitwa Apoptosis hii ni hatua ambayo inahusiana na mtiririko uliopangika wa kifo cha seli kwa kufuata hatua(natural cell death). Kwa maana hiyo natural cell death ambayo ni aptosis inatokea
Seli zunakufa na kutolewa na kama zisipotolewa zile seli zilizokufa zinaweza kuzalisha Cancer cells.
Seli zinazokufa zinakuwa replaced na seli mpya kila wakati kufidia upungufu.
You are correct 💯 scientifically Kuna jamaa mtabe ashawahi kuniambia kuwa Kila kiumbe kina kisukari na kina kansa,shida inaanzia kwenye conditioning Kwa maana ya kuwa kama sukari haijabalance ndio unakuwa ugonjwa,either ikipungua chini ya kiwango au kuzidi juu ya kiwango,Kwa hiyo hapo ni lifestyle issues tu na wajanja globally hawataki ujue Kwa sababu kwao ni biashara yenye faida kubwa sana. Kuhusu cancer ni the same everybody has got the said cancer,hali ni ile ile cells zinazokufa je zinatolewaje,kama zinakosa passage ya kutoka iliyo na nafasi kubwa zina accumulate na kuanza ugonjwa wa kansa. Unapata jawabu kuwa ishu ni ile ile tu lifestyle issues, wajanja Duniani hawataki ujue Kwa sababu ni biashara kubwa sana kwao. Kwa hiyo sio kama kufa hatufi ila kufa mapema na huku unateseka ndio ishu hapo. Au kuzeeka huku unaumwa pia ishu hiyo. Japan na china Kuna vizee above 100 years viko active kuliko mtu wa makamo wa Tanzania wa miaka 55 na kuendelea hapa mshedede wengi wao hazipigi wiper zishafeli,ishu ni ile ile tu lifestyle and beliefs. Kwa iyo unachosema ni Sahihi kabisa,ila uelewa wa watu ni tofauti kabisa Kila mtu ana uelewa wake. Nina Babu yangu anakwenda 95 mpaka kesho anavuta tumbaku ila anasema hajawahi kuvuta Sigara na hajawahi kuumwa serious na kulazwa na bado ana nguvu zote na anakula zaidi ya tunavyokula vijana. Tofauti yake na watu wengi ni kuwa hajawahi acha kufanya KAZI shambani kwake hali chakula hovyo hovyo zaidi ya vyakula anavyozalisha mwenyewe.
Mkuu fentfod shukurani sana kwa kuchangia mada pia kuongezea pamoja na ku share maarifa. Katika jukwaa hili la Intelligence JF, tuendelee ku share na kupeana elimu zisizopatikana, tusizozijua Wala kuzisikia katika elimu zetu tulizokaa darasani. Tusichoke kuuliza au kujiuliza kila hadithi zilizoandikwa au kusimuliwa.You are correct 💯 scientifically Kuna jamaa mtabe ashawahi kuniambia kuwa Kila kiumbe kina kisukari na kina kansa,shida inaanzia kwenye conditioning Kwa maana ya kuwa kama sukari haijabalance ndio unakuwa ugonjwa,either ikipungua chini ya kiwango au kuzidi juu ya kiwango,Kwa hiyo hapo ni lifestyle issues tu na wajanja globally hawataki ujue Kwa sababu kwao ni biashara yenye faida kubwa sana. Kuhusu cancer ni the same everybody has got the said cancer,hali ni ile ile cells zinazokufa je zinatolewaje,kama zinakosa passage ya kutoka iliyo na nafasi kubwa zina accumulate na kuanza ugonjwa wa kansa. Unapata jawabu kuwa ishu ni ile ile tu lifestyle issues, wajanja Duniani hawataki ujue Kwa sababu ni biashara kubwa sana kwao. Kwa hiyo sio kama kufa hatufi ila kufa mapema na huku unateseka ndio ishu hapo. Au kuzeeka huku unaumwa pia ishu hiyo. Japan na china Kuna vizee above 100 years viko active kuliko mtu wa makamo wa Tanzania wa miaka 55 na kuendelea hapa mshedede wengi wao hazipigi wiper zishafeli,ishu ni ile ile tu lifestyle and beliefs. Kwa iyo unachosema ni Sahihi kabisa,ila uelewa wa watu ni tofauti kabisa Kila mtu ana uelewa wake. Nina Babu yangu anakwenda 95 mpaka kesho anavuta tumbaku ila anasema hajawahi kuvuta Sigara na hajawahi kuumwa serious na kulazwa na bado ana nguvu zote na anakula zaidi ya tunavyokula vijana. Tofauti yake na watu wengi ni kuwa hajawahi acha kufanya KAZI shambani kwake hali chakula hovyo hovyo zaidi ya vyakula anavyozalisha mwenyewe.
Anhaa! sasa kama unahisi hivyo anza wewe kula mara moja kwa siku tatu tuone aging yako inavyokuwa mkuu...Kuna mafundisho tumepewa yapo chaka. Mfano swala la aliyeanzisha tabia ya milo mitatu kwa siku alilenga nini? Baadhi ya behaviour zimejengwa kwa kurithi na zikatengeneza strong emotions kwenye mindset zetu. Inawezekana kungekuwa na tabia ya mtu kula mara moja in every 3days aging ingepungua na longevity ingeongezeka pengine mara 3 ya umri wa sasa. Sasa sijui population ingekuaje
Well said!!! Mahala tulipopigwa kabisa ni kuruhusu vitabu vya dini viandike hekaya za chanzo Cha Binadamu kwa misingi yenye dhana dhania na wala siyo uhalisia wake.Mada yetu inahusiana na uhusiano wa kuzeeka na kifo. Hakuna sehemu nimeandika kwamba hakuna death au kifo. Tafadhali tuliweke sawa hilo.
Binadamu kama mnyama uumbaji wa molekuli zao/zetu wote unafanana navkushabihiana kwa kiasi kikubwa katika molecular level au biochemical level.
Katika ngazi ya seli/ Cell Kuna hatua inatokea inaitwa Apoptosis hii ni hatua ambayo inahusiana na mtiririko uliopangika wa kifo cha seli kwa kufuata hatua(natural cell death). Kwa maana hiyo natural cell death ambayo ni aptosis inatokea
Seli zunakufa na kutolewa na kama zisipotolewa zile seli zilizokufa zinaweza kuzalisha Cancer cells.
Seli zinazokufa zinakuwa replaced na seli mpya kila wakati kufidia upungufu.
Sitaweza, ila kwa siku mara moja ntaweza, asaiv napiga mara 2 kwa siku.Anhaa! sasa kama unahisi hivyo anza wewe kula mara moja kwa siku tatu tuone aging yako inavyokuwa mkuu...
Babu kula kunategemea na kazi vilevile asili yachakula chenyewe!, life style ya binadamu lazima ibadilike maana ulinganifu wa maisha ya zamani na sasa ni tofauti we wakati wa uwindaji mtu anawinda tu na hiyo ndio kazi yake pekee!, halimi, hana kazi nyengine za ziada kama tulivyo binadamu wasasa!.. so ulaji wao ukiongezea na walikuwa wanakula chakula natural so swala la kuishi muda mrefu nakupunguza complications za magonjwa ilikuwa ni swala la kawaida!.Sitaweza, ila kwa siku mara moja ntaweza, asaiv napiga mara 2 kwa siku.
Point of correction,Sijasema ili uishi umilele mpaka uwe na dini fulani maana Muumba hana dini wala thehebu.The real source of life ni mmoja tu na true energy na eternity inatoka kwake.Dini is project ikiwa Mungu ni mmoja kwanini kuna dini zaidi ya moja?