Age is not in our DNA

Sawa mkuu,
 
Nakazia
 
What about skin wrinkles,grey hair,poor thinking capacity and shaking like a baby at the age of 70 years!?
 
Mkuu KENZY nashukuru kwa kushiriki mada hii. Hapa katika safu hii hakuna issue inayohusiana na imani isipokuwa ni aidha unajua, unafahamu, unatambua au unatafuta kutambua. Kwa hiyo Sina imani yeyote kwa sababu imani ni kwa vitu visivyokuwepo au vya kufikirika. Pengine sijui au najua na ninaendelea kutafuta ufahamu ili niweze kutambua na kujitambua. Kwa hiyo nipo njiani au safarini kutafuta. Na katika njia ninazopita ninazidi kujua kuwa sijui kitu ndio maana nipo huru kwa ajili ya kujifunza.
 
Haha! tupo nawewe tukikuangalia kuzeeka kwako sio kufa kwako sawa mkuu...🤣
 
Mkuu zumbemkuu heshima kwako.
Nimependa upeo wako ulivyo huru kwa ajili ya kujifunza na kutambua yanayotokea nyuma ya pazia. Nakushukuru kwa kuchangia mada.
Nilikuwa nimefungwa na mtizamo wa itikadi kali sana kutokana na experience ya maisha nikagundua tuliyokariri kuanzia utotoni yametufunga tusifikiri nje ya kile tulichofundishwa.
 
Kuna mafundisho tumepewa yapo chaka. Mfano swala la aliyeanzisha tabia ya milo mitatu kwa siku alilenga nini? Baadhi ya behaviour zimejengwa kwa kurithi na zikatengeneza strong emotions kwenye mindset zetu. Inawezekana kungekuwa na tabia ya mtu kula mara moja in every 3days aging ingepungua na longevity ingeongezeka pengine mara 3 ya umri wa sasa. Sasa sijui population ingekuaje
 
Nilikuwa nimefungwa na mtizamo wa itikadi kali sana kutokana na experience ya maisha nikagundua tuliyokariri kuanzia utotoni yametufunga tusifikiri nje ya kile tulichofundishwa.
Umenena vyema na kikubwa. Sote katika kipindi fulani tuna lishwa mafundisho na mafunzo mengi ambayo yanakuwa ni minyororo isiyoonekana katika maisha yetu.
Kuna wakati unafika unatambua upo kifungoni ingawa unajiona upo huru.
Wakati umefika tukate na kujifungua minyororo ambayo inatushikilia ili tuweze kuwa huru.
 
Kwamba watu hawafi kwa sababu ya uzee
Mkuu issac77 Kuna jambo moja muhimu na kubwa nitakujuza kuhusu kuzeeka. Hivi unafahamu birthday celebration vinasababisha na kuchochea aging kwa Kasi? Kila wakati unapo celebrate kitu kinachoitwa birthday inakuwa programmed katika mindset yako na inasababisha unazeeka kwa haraka.
Ndio maana watu ukiacha sababu zingine watu wa zamani waliishi muda mrefu sababu hawakuangaika kusheherekea na pengine hawajui hata siku zao za kuzaliwa.
Tujiulize Kuna umuhimu au manufaa yeyote ya kusheherekea birthday? Ni faida gani? Halafu chagua kati ya kusheherekea au kupotezea.
Binafsi sisheherekei siku yangu ya kuzaliwa.
 
Wakati mwingine sherehe ni factor nyingine ya longevity, hususan birthday kwa mtu anayejua purpose yake. Nilisoma kitabu cha IKIGAI kuna eneo Japan kila watu milioni kuna wazee wenye miaka zaidi ya 100 wasiopungua 500, na sababu kubwa ya kuishi muda mrefu walipoulizwa, mojawapo ni kufanya sherehe za birthday pamoja na kula kidogo.
 
Hapa ndo Conspiracy zinapoanza mkuu
 
What about skin wrinkles,grey hair,poor thinking capacity and shaking like a baby at the age of 70 years!?
Kwa ufupi na urahisi tuangalie mambo mawili yanayotokea katika mwili ambayo REGENERATION na DEGENERATION.

Regeneration katika biolojia inahusisha process kujitengeneza upya(renewal), kurekebisha au kuhifadhi( restoration) na ukuaji(growth) wa vilivyopungua, vilivyoharibika katika cell, tissue, organ , system au mwili mzima wote.

Degeneration ni kinyume cha kinachotokea kwenye regeneration ambapo uharibifu na upungufu unatokea.

Kunatakiwa kuwe na uwiano wa mizania mzuri kati ya mambo hayo mawili niliyoeleza. Yanatakiwa kuwe na balance.

Kusipokuwa na uwiano sahihi ndio kinatokea ngozi kusinyaa, mvi, upungufu wa uwezo wa kufikiri na mambo mengine kadha wa kadhaa.
 
Umeeleweka vema tu.Ni wachache ambao miili yao ina-generate kwa miaka mingi.Waliosalia ndiyo kama hivyo tena.Kuchakaa bin kuzeeka/degenaratives.
 
Mkuu nakubaliana na hoja yako kwa asilimia 100 kama sababu ya kusheherekea birthday iwe na purpose hasa ya longevity. Je, wengi wetu tunaishi kwa kutambua purpose ya maisha kama Japan? Au tunasheherekea birthday kama utamaduni wa mapokea ya magharibi? Nimefurahi sana kusikia Ikigai kutoka kwako. Upo vizuri sana mkuu.
 
Sasa,hapo tujikite kwenye birthday parties au tujumuishe kwenye ujumla wa "ISHI KWA FURAHA"!?
 
Sasa,hapo tujikite kwenye birthday parties au tujumuishe kwenye ujumla wa "ISHI KWA FURAHA"!?
Mkuu Moisemusajiografii umenena vyema kabisa kila siku, kila saa, kila wakati "ISHI KWA FURAHA" kwanini tusubiri kusheherekea hadi siku ya kuzaliwa. Everyday is the new and wonderful brand day tusheherekee.
 
Umeeleweka vema tu.Ni wachache ambao miili yao ina-generate kwa miaka mingi.Waliosalia ndiyo kama hivyo tena.Kuchakaa bin kuzeeka/degenaratives.
Mkuu Moisemusajiografii wote tunauwezo, nguvu na mamlaka tukiamua kupunguza Kasi ya degenerative process. Uamuzi ni wako tu. Nitakupa mfano wa kiumbe tunayemfahamu reptilia anaitwa mjusi. Kama ulishaona mjusi amepata ajali ya kukatika mkia kwa kubanwa na mlango. Unaweza ukajifunza mengi sana kwa huyu kiumbe. Pia kuna mengi ya kujifunza kwa viumbe kama nyoka anavyojivua gamba na viumbe wengine.
 
lakini mkuu dunia hii jinsi ilivyo na hekaheka namna hii, hamna maana kuishi milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…