Agatha Yakobo: Watanzania naomba mnisamehe, zilikuwa ni akili za Pombe, muhusika alitutishia maisha

Bawabu wa pili

Senior Member
Joined
Nov 14, 2025
Posts
147
Reaction score
432
Jumuiya ya Mtakatifu Yohana Parokia ya Yombo Dovya Januari 27 iliungana na kushiriki zoezi la upandaji wa miti katika kata ya Makangalawe Wilayani Temeke ikiwa ni sehemu ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Samia Suluhu Hassan katika siku yake ya kuzaliwa lakini Cha ajabu aliyeonekana sehemu ya Msafara wao Bi Agatha Yakobo baadae ilivuja Clip akionekana katika mazingira yakutengenezewa hoja ili aonekane si halisia katika dhehebu hilo bali ni mipango tu ya Watu

Kupitia Video hii hapa Mwanamama huyo anakiri kuwa alirekodiwa pasipo matakwa na anathibitisha walipewa vitisho li kutekeleza yote hayo.

Your browser is not able to display this video.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahahahaha mwaka huu ndo mtaelewa kwa nini waswahili walisema siku ya kufa nyani miti yote huteleza.

Pumbavu zenu maigizo yenu yote yanafeli mwaka huu. Pigeni tu hela za hao wapumbavu tiss na Abdul ila ndo hivyo tena igizo lilishafeli na Watanzania hatununui upumbavu wenu.
 
Mbona sasa leo ndio kalewa vizuri zaidi?
 
AI huyu ni miislam Jina lake asili
 
Ukifuatilia vizuri hizi issue ni zinatengenezwa kimkakati kupotezea watu muda wa kujadili.

Si issue za ukweli wala uhalisia bali ni matengenezo tu na ndio maana Wana kosea makusudi ili mjadala uwe mkubwa
 
Mimi ni nani mpaka nisimsamehe haya basi mimi nimemsamehe ila angemtaja huyo aliemtishia hivyo ni nani ili na yeye abanwe makende mpaka aseme ni nani aliemtuma akiwa mbele ya camera
 
Ameongea nini?

Amandla...
 
Mambo mengine ni aibu kwa serikali.
Sasa watu mfano wa huyu kwanini wanaachwa huru bila kufikishwa mahakamani kwa uchochezi?
Mnataka watu wahisi anafanya yote haya akiungwa mkono na vyombo vya dola?
Mizaha mizaha utumbua usaha.
 
huyu ''raisi'' kwa kweli tumepatikana, yaani kama nchi ametushuha to that level kweli ya kuanza kukimbazana na akina agatha?

i say meritocracy now, tunatawaliwa na vilaza sababu ya kukosekana na meritocracy, tungekuwa na meritocratic system hawa watawala wengi wasingevuka ukarani ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…