Walioelewa wanieleweshe tafadhali
Hauja-analyse vzuri mada ysko ikajitosheleza mashiko. Imekuwa kama unapika jungu'flan'iv!.... Spika wa Bunge kuwapa zaidi ya ekari 700, Askofu wao nani aliyejinunulia gari kwa hela za interview? Na ni interview ipi?
Kwanini mtu uliyestaarabika af'unaonekana ni msomi kuleta wivu wa kike kwene forum!
Inatokana na nini hii kitu, kuna sehemu umekwaruzana nao mkashindwa kupikika chungu k1?
Shibisha bandiko lako kwa steki sahihi ili kutoa possibility ya watu kukutazama kwa negativity na ku-comment Mabaya juu yako..edit yoir post tafadhali
Ipo hivi,Hizi si ndiyo miongoni mwa posts ambazo kwa vipimo vyote hazikidhi viwango na ni kinyume na JF regulations & rules?
Inakuwaje mtu ambaye ana frustrations zake huko anakuja kuchafua mtu ama taasisi pasipo hata na ushahidi?
Mods, do your job please!!
Cna hakika na usemacho ngoja tusikie kwa wengineIpo hivi,
Kuna shirika la kikristo ilijipambanua kwamba imepata ufadhili toka marekani wa kujenga makanisa zaidi 200 tanzania,kujenga shule za secondary zaidi ya 30 na hospitali za rufaa,hilo shirika lipo chini ya Askofu Martin Ngwila kwa hapa Tanzania,walitangaza nafasi za kazi kwenye redio mbalimbali na malipo ya interview ni 10,000 waliapply zaidi ya watu 4000 ,watu walikodi mabasi toka mbeya,kigoma,dar,nk.kumbe shirika la kitapeli
Ipo hivi,

Kanisa lipo duka mbovu arusha,interview iliisha watu wakachaguliwa wakaambiwa wataitwa mwezi wa 6,na walikuwa wanahitaji watu 1500,mpaka leo hawajaitwa zaidi ya kupigwa calendaMi naona bado hujakamilisha,liko WAP kanisa na hyo interview iliishaje,hakuna aliye ajiriwa?