AG Vs Freeman Mbowe!

Jaffary

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
794
500
Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni na mbunge wa Hai mh. Mbowe kwa nyakati tofauti amesikaka akimsihi mh. Rais kuunda tume ya kimahakama kuchunguza vifo mbalimbali vyenye utata vilivyotokea ktk mikutano ya cdm

Lakini pamoja na jambo hili kuwepo kisheria AG amekuwa akisema hakuna ulazima wa kufanya hivyo

Cha kushangaza jana, japo ni jambo jema, AG moja ya mapendekezo na ushauri wa kisheria kwa serikali ilikuwa ni kuunda tume ya kimahakama kuchunguza yaliyotokea na hatua hastahiki ya kuchukua.

My concern here is that, kama wanaokufa kwenye mikutano ya vyama vya siasa ni watanzania na waliokufa kwenye operesheni vilevile ni watanzania, kwa nini kunakuwa na double standards?
 

POMPO

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
6,690
1,195
Tanzania haijawhi kuwa na AG mbovu na anatumikia siasa kama huyu Warema

Sijui huo ujaji aliupata vipi?

Kutwa anawaza mipasho na kumwaza Lissu.

Jana kakaa anajigonga tu.
 

Makaro

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
615
195
wanaona wanachi wamechoka CCM, wanajaribu kurudisha Imani kidogo, lakini wananchi wameshagundua kinachoendelea.
 

Kagalala

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
2,404
2,000
Vifo vya Watanzania wanaokufa kwenye mikutano ya siasa kuna mkona wa CCM, watawezaje kuunda tume ya Kimahakama, unataka wajimalize wenyewe!
 

Mlyandigwa

Member
Oct 10, 2012
39
70
raia waliokufa kumi na tatu, na askari au watendaji waliokufa kwenye operesheni wakipambana na majangiri sita, lakin cjamsikia hata mbunge mmoja akiwaongelea hao ina maana wao sio binadamu au ni haki yao kuuwawa?
 

ONDIECK OTOYO

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
254
0
raia waliokufa kumi na tatu, na askari au watendaji waliokufa kwenye operesheni wakipambana na majangiri sita, lakin cjamsikia hata mbunge mmoja akiwaongelea hao ina maana wao sio binadamu au ni haki yao kuuwawa?

katika haya kuna uthibitisho wa wazi serekali hili husika na mauaji ya arusha ndiyo maana ikagoma kuhunda tume ya kimahakama kwani ingekuja na ukweli na ingeabika
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom