Afya za wapenzi wapya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afya za wapenzi wapya

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by yantuzu, Sep 22, 2012.

 1. yantuzu

  yantuzu Senior Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nimekuwa nikifuatilia comments za wana JF katika maswala ya mahusiano (Mapenzi), mara nyingi wanatoa ushauri wa kwenda kupima kabla ya kuanza kushiriki katika swala zima la ngono, Je wewe ulienda kupima wakati unaanza uhusiano wako na huyo/hao uliye/ulio naye/nao? Mimi sijawahi kutangulizana na mpenzi wangu mpya yeyote ....... ila nilishapima wadau!
   
 2. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #2
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Subiri vijana waje wakujibu. sie enzi zetu hatukuwa na haja ya kupima kabla. Tumekuja kupima uzeeni.
   
 3. yantuzu

  yantuzu Senior Member

  #3
  Sep 22, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nawasubiri

   
 4. Root

  Root JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,184
  Likes Received: 12,892
  Trophy Points: 280
  wengine bado watoto wanaogopa sindano
   
 5. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hivi kile kipimo cha mate hakijaanza kutumika hapa kwetu? Nafikiri kitawafaa waoga
   
 6. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mimi napima na kila couple ninayokuwa nayo.
   
 7. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Enzi zetu tishio lilikuwa gono tu. Ngoja wenyewe watamwaga sera.
   
 8. Root

  Root JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,184
  Likes Received: 12,892
  Trophy Points: 280
  kweli maana nina kitoto fulani kinaogopa sana sindano
   
 9. yantuzu

  yantuzu Senior Member

  #9
  Sep 22, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hongera sana mkuu

   
 10. yantuzu

  yantuzu Senior Member

  #10
  Sep 22, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Gono mlikuwa hampimi enzi hizo???

   
 11. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hakuna kupima, kupata gono ilikuwa bahati mbaya sana tena sana. Ukienda hospitali lazima umpeleke aliyekutwisha zigo ili wote mpate tiba.
   
 12. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Wewe chukua tahadhari kabla ya hatari, kupima ni mhimu sana.Mimi kigezo cha kwanza ni kupima then mengine yatafuata,akisita tu basi nachana nae
   
Loading...