Afya Za Viongozi Wa Taifa La Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afya Za Viongozi Wa Taifa La Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndallo, Mar 8, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Tanzania ni nchi moja duniani imebahatika kua na kilakitu ambacho tunapaswa kujivunia na hapa juzi tu tumepata mkombozi wa kutukomboa na hali za afya za wananchi wa taifa hili ambaye ni BABU yuko kule Loliondo. Sasa ili tuondokane na migogoro ya afya za viongozi wetu natoa wito kwa kila kiongozi wa serikali aende Loliondo akanywe dawa na tutokane na hizi hila za viongozi wetu kutumia hela nyingi za walipa kodi wavuja jasho! Utasikia kila kiongozi akienda nje ya nchi kupima afya yake kwakutumia hela za walalahoi! Kuanzia leo nikisikia kiongozi wa serikali hata kama atakua ni raisi anakwenda nje kupima afya yake kwakutumia hela za wavuja jasho tena wanaishi chini ya dola moja kwasiku halafu wewe kiongozi unakwenda sijui India au London na kokote kucheki afya kwakweli tutaandamana kwakua najua sasa hivi nchi hii bila kuweka shinikizo kwa njia ya maandamano hakitaeleweka! Nawasilisha hoja mimi nimeshachoka na nchi hii!
   
 2. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ingewezekan babu aombe mungu aruhusiwe kupeleka bungeni kile kikombe chake,

  Mapesa mengi yatapona
   
Loading...