Afya ya huyu mgombea inatia shaka

Afya ya huyu mgombea inatia shaka

Umeona huyu naye, ilipokuwa enzi ya kikwete mkadai watu wamechagua sura, leo nyie nyumbu mmegeuka kuwa sura ya magufuli haina mvuto-aiseee. Nyie watu mna mpango wa kuipeleka nchi katika machafuko. Hizi si akili za kawaida.

Machafuko yametokea wapi???????? mnaendelea kutisha watu Eeee??????
 
Lowassa bubu...hatumpi kura zetu.

Mbowe turudishie Dr Slaa wetu.
 
Back
Top Bottom