Afya ya huyu mgombea inatia shaka

Afya ya huyu mgombea inatia shaka

a4apple

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
927
Reaction score
1,143
Jana nilimsikiliza magufuli ambaye alikanusha kulazwa ICU, lakini pamoja na kukanusha huko ni wazi sauti yake na mood vilibadilika na kuwa na sauti ya chini na mood ya kukata tamaa. Tunaiomba tume ya uchaguzi impeleke huyu mgombea ulaya akapate matibabu kwanza ndipo aendelee na kampeni zake. Kumbuka mficha ugonjwa mauti humuumbua...!
 
Magufuli anaumwa sana ila tu hawataki kuweka wazi,mwenye akili kubwa amenielewa.
 
Mbona mke wa Magufuli hazunguki na mumewe? Halafu hapewi hata dk 5 za kuzungumza na wanawake wenzake? Au shule ya UPE inamkosesha uwezo wa kuzungumza kwenye kadamnasi? Salma nae alianza hivyo hivyo....
 
Si bure hatujawahi kumwona mke wake, labda hajapenda magufuli agombee urais huku akijua afya yake sio nzuri
 
Mbona mke wa Magufuli hazunguki na mumewe? Halafu hapewi hata dk 5 za kuzungumza na wanawake wenzake? Au shule ya UPE inamkosesha uwezo wa kuzungumza kwenye kadamnasi? Salma nae alianza hivyo hivyo....
Nyie nyumbu wa chadema kutoka hilo Taifa la Tanganyika huenda ndio mkawa nyumbu wakorofi na vilaza kupita kiasi. Kikwete alipokuwa akimshirikisha kwenye siasa za majukwaani mama salma, mkasema anafanya urais ni wa familia. Huyu magufuli hana mpango wa kuiingiza familia kwenye masuala ya kisiasa pia mnaona shida. Mfanyiwe nini watu nyie hadi mridhike? Au kizazi kile kikirofi cha Israel ndio nyie mliokuwa mkimpinga kila kitu mussa? Acheni utoto.
 
nilisema mimi..aliongea kwa hamaki na nguvu nyingi...sasa wiki tu sauti yote imemkauka....
afanye kampeni za kisayansi.....
 
Jana nilimsikiliza magufuli ambaye alikanusha kulazwa ICU, lakini pamoja na kukanusha huko ni wazi sauti yake na mood vilibadilika na kuwa na sauti ya chini na mood ya kukata tamaa. Tunaiomba tume ya uchaguzi impeleke huyu mgombea ulaya akapate matibabu kwanza ndipo aendelee na kampeni zake. Kumbuka mficha ugonjwa mauti humuumbua...!

Maskini vibaka mme paniki sana baada ya kusikia mgombeawenu ni immobile aka fixed asset...hawezi kutoka nje ya dar...kwanini msingempa jimbo la ubungo tu akagombee ubunge kikaeleweka??
 
Ukiacha ugonjwa hata sura yake sio rafiki, haina mvuto kama sura za maprezidaa wa Tz, imepwaya sana hata kwenye mabango.
Umeona huyu naye, ilipokuwa enzi ya kikwete mkadai watu wamechagua sura, leo nyie nyumbu mmegeuka kuwa sura ya magufuli haina mvuto-aiseee. Nyie watu mna mpango wa kuipeleka nchi katika machafuko. Hizi si akili za kawaida.
 
Back
Top Bottom