GreaTthinkers,
Habari hii ni njema na nyeti sana,
Dk Ulimboka afya yake inaendelea vizuri, uwezekano wa kuruhusiwa august ni mkubwa ila hatarusiwa kufanya kazi kwa miezi sita. baada ya hapo atarejea hospitali kwa uchunguzi tena.
''Nikirudi nyumbani nitaongea na waandishi wa habari kila mtu asikie,siogopi kufa mara ya pili. Cha msingi kila mtu aelewe kilichotokea''
Please naomba ulinzi uimarishwe, wasije wakamdhuru dk anayepigania huduma bora hospital likiwemo kina mama wajawazito wasilale wanne ktk kitanda kimoja.
\maswali yanayofanana na hili yaliulizwa kibao siku taarifa ya kutekwa ilipotoka, La msingi ni kuwa afya yake imeimarika. Mungu anamjalia afya na atarudi Tanzania
Wakati watanzania wanaombea Dr Uli apone haraka arudi kujenga taifa kuna ambao wanatamani hata agongwe na gari ili mradi asirudi bongo. Hawa ni Kova, Hemed Msangi, Said Mwema, Jack Zoka na jamaa wa baraza la waislam la bahakita
Umofia kwenu all igwe,habari njema hii,Spencer imarisheni ulinzi huko SA na pia dose yeyote anayopewa lazima nyie wote muhiakiki! Kova Zoka msangi Side mnyamwezi imekula kwenu
Dr. ulimboka mungu akujalie afya njema na urudi kuendeleza harakati. ninajua Dr. akirudi yeye ndiye atakae thibitishia umma kwamba aliyejisalimsha na kutaka kutubu ni miongoni wa waliomteka ama siye. kwani naaminialiwaona wote.