AFYA: Nawezaje kupunguza uzito

Mtafute jamaa Anaitwa Dr Boaz Mkumbo yupo Facebook anaelekeza ulaji wa vyakula na jinsi ya kupangilia mlo! Anaiita Sayansi ya Mapishi.

Amemsaidia Bi mkubwa wangu kutoka 107 hadi 80 aseee amependeza sana!! Mcheki.
 
Mtafute jamaa Anaitwa Dr Boaz Mkumbo yupo Facebook anaelekeza ulaji wa vyakula na jinsi ya kupangilia mlo ! Anaiita Sayansi ya Mapishi
Amemsaidia Bi mkubwa wangu kutoka 107 hadi 80 aseee amependeza sana !! Mcheki
Aisee kilo 27 sii kitoto
 
Kwa matokeo ya haraka zaidi anza mazoezi ya kukimbia na badilisha diet.
 
Asiache hizo ratiba maana kucheat kwenye diet nikawaida bila Mungu kumsaidia utacheat kila siku mkuu.
Mnamwomba Mungu vitu vya kipuuzi sana, hiyo ni dhihaka kwa Mnyaazi.
 
Kaka na mimi nina KG kama zako nambie upo maeneo gani tushiriki mazoezi na diet mimi mwanzo nilifanya diet thru dk boaz mkumbo maelezo yake ila baada ya kupata matokeo niliacha ndo nataka nianze upya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…