Afunga ndoa na jezi

Drone Camera

JF-Expert Member
Jul 25, 2017
14,007
13,799
Wazungu wako vzr sana.... Huyu hapa shabiki wa Arsenal game ameamua kuonyesha unazi wake kwa timu yake....sherehe ilienda vzr na kuifanya iwe na mvuto wa aina yake....cheki maneno
61976939_2323212101270727_5140068593286774784_n.jpeg
 
kweli anaroho ngumu na uvumilivu,,,kwa vipigo vinavyopokelewa na aseno kuvaa jezi mtaani tu ni aibu
huyu kawezaje harusini
 
kwa kipindi hiki tangu msimu huu umalizike sijaona hata moja
Kumbe msimu ulipoisha.... msimu umeisha nan avae jezi....watu wanavaa sana jezi wakienda kucheki gemu au mazoezini....mazoezi mengi sikosi jezi zao....huko kwenu mna lifestyle tofauti labda
 
Back
Top Bottom