Hana lolote kazidi porojo bila matendo muda wa kusema tupo kwenye mchakato ulishapitwa na wakati,kwanza tangu nyerere mpaka leo!hana jipya bora arudi richmonduli mara mia, maana jamaa kwa kazi anaweza sana achana matatizo madogo madogo aliyo nayo ambayo yanarekebishika,kuliko mtoto wa mkulima,jamani ukukitaka utajiri huwezi kumuuliza masikini akusadie mawazo lazima umuulize tajiri aliwezaje kufika hapo,