Pole kwa " mipele " Mkuu. Tumia dawa moja hivi inaitwa AMOL-G ni nzuri sana kwa Vipele vya Kidevuni na vile vya Kichwani vinavyotoka baada ya Kunyolewa. Itafute upesi tafadhali ila ukipona usisite kurudi humu kunishukuru kwani hata Mimi nilimshukuru aliyenitajia hiyo dawa hivyo tuendeleze tu chain ya Kushukuru ukisaidiwa. Kila la kheri!