After all is said and done, CHADEMA itaongeza Kata ngapi?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Tuseme hao Maaskofu woote waseme wawezayo mpaka wachoke, Je itaiongezea nini chadema ? Wataokoa kifo cha chadema?

Wanaoiangamiza chadema ni Viongozi wa chadema kwa kushindwa kuwa Wabunifu, hkn Mtz atakayewapa kura kwa kuwatumia Maaskofu, ingekuwa ni hivyo fisadi Lowasa angekuwa Raisi wa JMTZ leo hii kwani hajaanza kuwatumia Maaskofu leo, ameanza zamani hivyo zaidi ya kelele tu hakuna jipya, ...
 
Kipofu huyu...CCM bana sasa CHADEMA watapataje wanachama wakati siasa hawafanyi na CCM mnatembea na sare zenu kwenye mikutano ya serikali,polisi wanawakamata wapinzani ovyo ovyo Kwa hoja dhaifu, mawakala wa upinzani wanatolewa kwenye vyumba vya kupigia kura,Watu wanauawa ovyo,wanatekwa hovyo mpaka wanapigwa risasi Za moto.Kuna kitu CCM inasahau kuwa Yesu alisema wakimzuia yeye kusema MAWE YATAPAZA SAUTI.... let's wait the time....
 
Hakuna Mbunge wa chadema aliyezuiwa kufanya Kampeni za Kisiasa, hayo mengine yote siyo mapya!
 
Tuseme hao Maaskofu woote waseme wawezayo mpaka wachoke, Je itaiongezea nini chadema ? Wataokoa kifo cha chadema?

Wanaoiangamiza chadema ni Viongozi wa chadema kwa kushindwa kuwa Wabunifu, hkn Mtz atakayewapa kura kwa kuwatumia Maaskofu, ingekuwa ni hivyo fisadi Lowasa angekuwa Raisi wa JMTZ leo hii kwani hajaanza kuwatumia Maaskofu leo, ameanza zamani hivyo zaidi ya kelele tu hakuna jipya, ...
Wakati huu, sauti za upinzani rasmi wa kisiasa kama CHADEMA zimezimwa kwa amri, polisi na risasi. Hawana chao tena katika awamu hii. Usihangaike nao. Badala yake yamezuka "mazimwi" mengine yenye kudai tunaongozwa na "hirizi" na "malaika wa giza". Sasa hayo ndiyo yakujibiwa. Ukikataa kuongea na watu wa amani, utaongea na watu wa "upanga". Ndivyo mantiki inavyoelekeza.
 
Kutubu ni muhimu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom