After a debate Obama is one termer

Na Obama asipochunga atakula term moja peke yake. Hicho kiti cha urais si mchezo ni cha Congressmen.
 
Hivi, na yeye alikuwa Congressman au? BTW: Romney bado ana kazi kubwa kushinda Urais japo kwa sasa anaonekana kuungwa mkono kwa 47.6% dhidi ya 45.3% za Obama. Hata hivyo, ili ushinde urais, mgombea anahitaji kura zisizopungua 270 kutoka "Electoral College", ambako Obama ana 257 wakati Romney ana 206 kulingana na takwimu za hivi karibuni. Kwa maana hiyo basi, siyo rahisi kujua nani atashinda ingawa Obama ana nafasi kubwa zaidi ya kutetea kiti hicho maana, japo hakufanya vizuri sana kwenye mdahalo wake wa kwanza na Romney, bado wapiga kura wengi wa Marekani walikuwa wameshaamua nani watampigia kura hata kabla ya huo mdahalo. Na kwa vile kwa wenzetu siyo kama huku kwa Wadanganyika ambao kanga, chumvi, kofia na pombe za kienyeji vinatosha kuwabadili mawazo wapiga kura, misimamo yao ya nani watampigia kura huwa ni ya kuaminika zaidi na isiyoyumbishwa.
 
Ikiwa hufahamu rais wa marekani huwa hana usemi mkubwa. Kuna congressmen au kwa lugha rahisi conservatives na hawa ndio mambo yote ikija kwa siasa. Hawa ndio wanamtoa Obama kijasho kila wakati asiwe na amani. Democrats kikundi ambacho Obama anapata kuungwa mkono ni kikundi kingine wanaotofautiana maadili na Republicans.

ELECTORAL COLLEGE hawana shughuli kubwa sana na huitajika siku ya uchaguzi tu kuchanganya matokeo(yaani kuchakachua matokeo).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom