Afrodenzi Mmmhhhh......Afrodenzi

yani ulingojea ilipotimia sa sita tu ukairusha dah..........happy birthday afro d..
 
dogo leo kavunja rekodi

ya the 'earliest birthday post' aisee
sita kamili sharp.....lol

mimi nasubiri keki ikatwe tu sasa....lol
 
Huwa hatujibu maswali ya hivi, you owe nobody any explanation.

''Mtu mzima haulizwi katoka wapi, anaambiwa pole kwa kazi tu.''

sipati picha aisee
unavyo washushua watu huko oficin kwenu lol
 
Kwani uongo jamani, tukiulizana humu nini mara nini tutaishi kweli?
Mie najitolea ushauri wa mwendawazimu

sipati picha aisee
unavyo washushua watu huko oficin kwenu lol
 
sasa dogo hiki kibarua cha kuhakikisha
saa sita kamili sharp uko macho ku post birthday ndo kimeanza sio? lol
au zile zingine utamuachia Ashadii ....ujifanye ulisinzia?????lol....
nina uhakika 'umezua deni hapa leo' lol
 
Kichanga kinatumia jamii za akina John mtembezi, sio pampaz tu?
Mkiniambia mko wapi naja sasa hivi, wengine ni popo tunaona zaidi gizani.
Kichanga kinatumia akina John Mtembezi hadi shots za Cocktail, tuko Club 50/50 kama unajua ilipo
 
Kila project ina tacts na techniques zake.

sasa dogo hiki kibarua cha kuhakikisha
saa sita kamili sharp uko macho ku post birthday ndo kimeanza sio? lol
au zile zingine utamuachia Ashadii ....ujifanye ulisinzia?????lol....
nina uhakika 'umezua deni hapa leo' lol
 
sasa dogo hiki kibarua cha kuhakikisha
saa sita kamili sharp uko macho ku post birthday ndo kimeanza sio? lol
au zile zingine utamuachia Ashadii ....ujifanye ulisinzia?????lol....
nina uhakika 'umezua deni hapa leo' lol
Hahahaha!!! Dah ishakuwa kesi hii, aisee zaidi ya deni...lol
 
Mi nilikuwa nachungulia nikawa nasikia harufu ya keki imebidi niingie.
Happy birthday mpendwa. Mungu akupe furaha tele maishani mwako. Kila unalolitaka lifanikiwe.
Nitarudi asubuhi kuchakachua kiduchu!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…