The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Hahahaha!!! Mkuu:lol::lol:dogo ungesahau leo Afrodenzi angekulaza garage lol
Hahahaha!!! Mkuu:lol::lol:
Bora ucheke maana umekumbuka vinginevyo ungekuwa unalia.
Tunaona kama kitu kidogo mwenzetu waweza kuwa uliset na alarm kuanzia asubuhi unadesign meseji.
Naku-imagine ulivyoluwa busy unadesing message, makaratasi hapo pembeni yako yatakuwa mengi maana ume-cancel kama karatasi 20 hivi.
mimi ya kwangu mwenyewe huwa naisahau
sasa sijui nitaikumbuka ya nani?lol
umejuaje kuwa leo ni happy birthday to you yake?
umejuaje kuwa leo ni happy birthday to you yake?
umejuaje kuwa leo ni happy birthday to you yake?
umeshaanza ushari...
hebu kalale aisee...lol
Kongosho umenikumbusha Birthday za shuleBora ucheke maana umekumbuka vinginevyo ungekuwa unalia.
Tunaona kama kitu kidogo mwenzetu waweza kuwa uliset na alarm kuanzia asubuhi unadesign meseji.
Kongosho umenikumbusha Birthday za shule